EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

Mmmhhh! Habar yako feki bwana hakuna kitu kama hicho,kwa uelewa wangu mdogo wadhamini wakuu wa EATV AWARDS walikua ni VODACOM,Diamond ni balozi wa VODACOM.Kwa kuwa tu balozi wa VODACOM Diamond hakupaswa kushiriki kwenye Tuzo hizo wala member yeyote wa WASAFI. Ni kama ilivyo mashindano ya bahati nasibuu unaambiwa kabisa members wala wanafamilia wao hawapaswi kushiriki katika bahati nasibu hiyo ili kuondoa dana ya upendeleo.Sidhani kama ni kweli EATV hawapigi nyimbo za WASAFI sababu ya kutoshiriki hilo siyo kweli,fanya utafiti kabla ya kusema.
Word!
 
Ni chuki za kiswahili ambazo hazitasaidia lolote. Diamond hamia South mazima kama wazamiaji wezako tunavyofikiria
 
Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao

Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.

Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963

Chanzo cha habari yako. Plz
 
Kama kweli hawapigi nyimbo zao kwa kigezo cha kutoshiriki hizo tuzo basi management ya EATV ni mambayumbayu.

Wao wenyewe walitoa option ya Msanii kujipendekeza,basi wakubali kuwa hawakua tayari kujioendekeza.

Kuna tuzo pia za Movie,pia akina Wolper,Wema Sepetu na Wasanii wengine wa tasnia ya Filamu,je hii itawagusa nao kiasi kwamba filamu zao hazitachezwa kwa sababu ya Kutojipendekeza?
Ni upuuzi pia kuendelea kumkumbatia mtu ambaye haja-apreciate kile unachokifanya wewe
 
Na matangazo ya vodacom ya diamond wanayarusha au wamesitisha?
yani umeuliza swali la maana sana. kwa kifupi chibu huwez kumkwepa nchi hii. usipo msikiliza utamwona kwenye mabango barabarani.
 
Toka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio
HAHAHAHAHA HIKI ni kituko najua wewe si mshabiki wa Diamond. yani Diamond awe mkubwa kuzidi EARADIO? hahahaha tafadhali msitoe ushauri huu kwa wasanii. hizo hizo radio wakati anatoka ndio zilikuwa zinapiga mziki wake hadi ana wika... Sidhani kama Diamond anaweza akawa na akili kama hizi.
 
Wasanii wengine ambao hawakushiriki kando ya wasafi wanawachukulia hatua gani?? Hahahah media houses za bongo upuuzi mtupu kweli
hapana, tutawachukulia hatua kali wasafi kwa kuwa wana-effect kubwa na hizo TUZO na music industry, hao wasanii wachanga tutawasamehe.... (from SAM MISAGO/MANAGER)
 
Yaani Diamond achukue fomu ajaze ili eti wimbo wake ufikiriwe!!!Anaanzaje kwanza
Tuzo zote duniani lazima ujaze fomu za kukubali masharti na vigezo vyao ili ushiriki hata grammy ndio maana tuzo za kili zinakuaga na madudu sbb wanawashirikisha wasanii hata wasiotaka kushiri sbb
 
Toka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio
Teh nani kakwambia hawajazagi fomu hao kina wasafi wanaposhiriki mpaka vijituzo vya uchochoroni nje ya tanzania wanajaza fomu kwa nini wasijaze kwao lazima ujaze fomu kuonyesha unakubaliana na vigezo na masharti yao na wao wakubali kama unakidhi kushiriki kipengele unachotaka kushiriki
 
Nawaza kwa sauti kama ingekuwa clouds watu wangesema kiasi gani???
Efm nao hawapigi nyimbo za manfongo ila hakuna maneno
 
Toka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio
Kule shinyanga wamemjua kutokana na hiyo radio. Habar zenyew za uongo wa2 mnadakia tu
 
sio kweli kua hawapigi nyimbo za wcb. wanapiga na hata leo kwenye top 20 nimesikliza nyimbo zao. tuwe wakweli jamani
 
tatizo watz tunapenda kutafuniwa na sisi kumeza bila yakujua utamu unabaki kwaalie tafuna. mbona kwenye tuzo za waandishi wa habari wanajipendekeza kwenye vipengele husika kutokana na kazi walizofanya?? acheni kua kama watu wanaotaka majibu yakuchagua kwenye hesabu. huo ni umaskini wa akili kabisa.
 
Back
Top Bottom