Acha basiNdio msilielie sasa mkitapeliwa invoice zenu
Kuna sms yangu umeiyonaPako wazi kama Sheli ya Buguruni 🤣🤣🤣
@Hawachi nikuachie huyu binadamu?Njoo DM tuyajenge
🤣🤣🤣🤣🤣 Mkipigwa invoice mnatupa visago mbele ya haflaAcha basi
Babe mbona umenikimbiaNdio akili zao wadada wanaokaa geto,
Angalia hata uandikaji wake ndio utajua ni wa aina gani.
acheni use.....ng...e wenzenu wanatafuta kik na nyie mnawapa,hapo hamna kitu hako ka demu ni kapenda kiki kinoma, huyo mlela nadhan kuna project wanaiandaa na hemed ndo wanataka kuibustiYan ni aibu kaka kuingilia mahusiano ya dadako, wakati anatongozwa ulikuepo? Au alikuomba ushauri? Yan huyu jamaa namuona bwege sana. Eti "umemwaribia maisha mdogo wangu" hii ni aibu kwani kulikua na mtakataba wa kutoachana?
Wadau mnaonaje hiki kitendo?
Inasikitisha watu aina hii ndio wanasababisha kila siku Single mama wanatolewa lugha ya dharau.Ndio akili zao wadada wanaokaa geto,
Angalia hata uandikaji wake ndio utajua ni wa aina gani.
usanii basi 🤣🤣🤣 mchicha nimekula toka la pili!Kuna sms yangu umeiyona
Hapana dadake siwezi kuingia kati yenu😁😁😁endelea nae mpendwa@Hawachi nikuachie huyu binadamu?
Huyo kaka mtu ni mpumbavu wa mwisho kabisa duniani, yaani anamsindikiza dada yake kufanya fujo udangani....!!??
Nimejikuta nawaza mara kadhaa kama huyo kaka wa Ebitoke ni mwanaume kamili ama tayari nayeye anapaka poda...
Uniachieje bebi, we unipendi kumbe@Hawachi nikuachie huyu binadamu?
Heheheheh kaka naeUnaambiwa, ebi alitoa tgo ili aolewe, unaambiwa baada ya kutoa, jamaa akampotezea.
Sasa kaka yake kamsindikiza kudai uharibifu.
Kwahio hii ndio nini???🤣🤣🤣Babe mbona umenikimbia
Eti eeh,Hapana dadake siwezi kuingia kati yenu😁😁😁endelea nae mpendwa
Mbona mi sina chunusi ila unAniita hbDadake awe na chunusi kama za Fid q[emoji16][emoji16][emoji16]
We ungekuwa ndio demu wa mlela ungefanyaje!?Nimeangalia ile video mwanzo Ebitoke anaingia kwenye mkutano nimejiuliza maswali hao mabaunsa ilikuwaje wakamuachia apite maana anamvua mpenzi mpya wa Mlela wigi anamkunja. Kingine kilichonishangaza ni Mlela kuzubaa laiti kama Ebitoke angekuja na siraha nina hakika yule mwanamke mpya angeumia.
Tatzo ukute walipeana wakiwa kitandani wamenyegeka no mkataba wala maandishi hata mahakamani hatafua dafuArudishe pesa za mtoto wa watu, mjini kaja muda mrefu alikuwa anafanya nini? Kama kweli Ebitoke mshitaki tu arudishiwe mpunga wake. Au mloge tu kwani nini bana