Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

ache
Yan ni aibu kaka kuingilia mahusiano ya dadako, wakati anatongozwa ulikuepo? Au alikuomba ushauri? Yan huyu jamaa namuona bwege sana. Eti "umemwaribia maisha mdogo wangu" hii ni aibu kwani kulikua na mtakataba wa kutoachana?


Wadau mnaonaje hiki kitendo?

acheni use.....ng...e wenzenu wanatafuta kik na nyie mnawapa,hapo hamna kitu hako ka demu ni kapenda kiki kinoma, huyo mlela nadhan kuna project wanaiandaa na hemed ndo wanataka kuibusti
 
[emoji848][emoji848]
Huyo kaka mtu ni mpumbavu wa mwisho kabisa duniani, yaani anamsindikiza dada yake kufanya fujo udangani....!!??
Nimejikuta nawaza mara kadhaa kama huyo kaka wa Ebitoke ni mwanaume kamili ama tayari nayeye anapaka poda...
 
Nimeangalia ile video mwanzo Ebitoke anaingia kwenye mkutano nimejiuliza maswali hao mabaunsa ilikuwaje wakamuachia apite maana anamvua mpenzi mpya wa Mlela wigi anamkunja. Kingine kilichonishangaza ni Mlela kuzubaa laiti kama Ebitoke angekuja na siraha nina hakika yule mwanamke mpya angeumia.
We ungekuwa ndio demu wa mlela ungefanyaje!?

Problem with loving deeply makes it so hard to let go of someone you be's with!🤣🤣🤣 Utam stalk tu...ujue yuko na nani, anafanya nini yani shida tu! Mwisho kuvamia hafla za watu kuleta ngumi!
 
Yan hao mabitozi ndio Ebitoke akajua amefanikiwa kumkamata
Alijua kapata kumbe kapatwa aiseee
Sema hakupata wakumshauri vzr
Screenshot_2019-11-11-15-09-13-1.jpg
 
Back
Top Bottom