Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Nina mshikaji alikuwa anawapenda sana hawa jamaa Bone Thugs-N-Harmony mpaka e-mail zake na kila kitu chake alikuwa ana andika Bone or Thugs.
Jamaa aliupenda sana huu wimbo.

Bone, Bone, Bone, Bone
Bone, Bone, Bone, Bone, Bone
Now tell me, what ya gonna do
(Now, tell me what...)
When it ain't nowhere to run
When judgment comes for you
When judgment comes for you?
Now tell me, what ya gonna do
(Now, tell me what...)
When it ain't nowhere to hide
When judgment comes for you
'Cause it's gonna come for you?
Wapi huko mkuu
 
Hilo lijamaa lipuuzi sana linatafuta umaarufu kupitia wanawake.
Kwanza sijui uwa linaigizaga nini?
Jitu zima kuoa halitaki linawachezea watoto wa watu bure bure kwa kigezo cha sura.
Tuiombe Serikali majitu kama haya yalazimishwe kuoa wale wanaowatangaza kuwa ni wapenzi wao.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Amna unajua mi sipendi kuchezea wanawake ila wao ndio wanapenda kunichezea yani. Ila naamini kwako nitapata pumziko la pekee na utanifuta sononeko langu la moyo Hawa. Nimechoka kufanywa katuni na hawa wasanii wa mapenzi dia. I believe in your heart is where true love lays...Lets share the bed of roses mamacita.
Ngoja nije tuyajenge hakuna namna
 
Kitenge a.k.a kaka wa ebitoke
20191112_105627.jpeg
 
Thugs for life[emoji123][emoji123]
Nina mshikaji alikuwa anawapenda sana hawa jamaa Bone Thugs-N-Harmony mpaka e-mail zake na kila kitu chake alikuwa ana andika Bone or Thugs.
Jamaa aliupenda sana huu wimbo.

Bone, Bone, Bone, Bone
Bone, Bone, Bone, Bone, Bone
Now tell me, what ya gonna do
(Now, tell me what...)
When it ain't nowhere to run
When judgment comes for you
When judgment comes for you?
Now tell me, what ya gonna do
(Now, tell me what...)
When it ain't nowhere to hide
When judgment comes for you
'Cause it's gonna come for you?
 
Jamaa ni fala sana, mi nilikuwa na Crush kwa yule mrembo toka enzi za Mussa Banzi acha tu. I wish i could smash her and wife her ASAP!

Mwanamke ambaye alikuwa na kila kitu ambacho nakihusudu. Personality, uzuri duh. Kweli kuna watu wanachezeaga bahati. Uache mwanamke real ukatoke na video vixen af utakuta boya ndio kafa kaoza anataka aoe kabisa.
Odama also used to be a video vixen in some years ago.

Kuna ngoma kadhaa nishawahi muona, kuna ngoma moja alifanya na Noorah ndio naikumbuka vizuri
 
Nanukuu
Mbaya zaidi ametoa matusi mazito adharani,nitashangaa sana BASATA na TCRA wakikaa kimya katika hili.
Bila shaka unamaanisha Ebi ashugulikiwe na TCRA na Basata.

Ndugu mwandishi.
1.Kwani Ebitoke wakati anatukana alikuwa ana rap matusi au anachana.
2.wakati anatukana alikuwa ana igiza na kutukana matusi kwa mtindo wa stand up comedy ya matusi au reality show.
3.Wakati anatukana alikuwa anaji recod na na kisha kusambaza video au ilikuwaje?

Nakukumbusha kidgo.
TCRA NI MAMLAKA YA UDHIBITI WA MAWASILIANO Tanzania.
BASATA NI BARAZA LA SANAA Tanzania.

Naomba ufafanuzi
Ktika 12na3.
[emoji23][emoji23][emoji23] kama sio mwanasheria, basi kazi hiyo ingekufaa sana. Unajenga sana hoja
 
Tatizo kamtoa bikra zote ndio maana ana hasira kila akikumbuka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amloge tena?
yaah unampaka kinyesi kila mahali anuke tu.

Kuna tetesi kwamba hiyo project aliyokuwa anaizindua ndo walifanya pamoja alafu mlela akamgeuka. Ndo maana ebi akamfwata hapo hapo
 
Wasichana tu-try kuweka vitu privately until we know it's permanently hili mambo haya yasitupate, kadada ka watu kamejitoa kwa jamaa kumbe lenzake halipo naye jamaaan, Mungu nisaidie hivi viatu visinipate maana vinanibana
Si wasichana tuu hata wavulana nao wajifunze hili manake nao pia ni wajanga.
Asanthe kwa ushauri mzuri.
 
Hilo lijamaa lipuuzi sana linatafuta umaarufu kupitia wanawake.
Kwanza sijui uwa linaigizaga nini?
Jitu zima kuoa halitaki linawachezea watoto wa watu bure bure kwa kigezo cha sura.
Tuiombe Serikali majitu kama haya yalazimishwe kuoa wale wanaowatangaza kuwa ni wapenzi wao.

haha 🤣 has vipi na wewe tukulazimishe kuoa yule tukunyanyi wako.
 
haha 🤣 has vipi na wewe tukulazimishe kuoa yule tukunyanyi wako.
Nimekwisha oa mkuu.
Misanii mingi ni mihuni mihuni tu kuoa/kuolewa haitaki ili yatafute umaarufu kupitia wanawake/wanaume.
Unakuta jitu zima 30+ yrs eti lisanii familia halina alafu linaigiza mambo ya familia.
Hovyo kabisa,alafu baadae linasema oooh gemu gumu huku likisahau lenyewe ndio lenye tatizo.
 
Si wasichana tuu hata wavulana nao wajifunze hili manake nao pia ni wajanga.
Asanthe kwa ushauri mzuri.
Sawa ndg ila sisi ujue tuna janga kubwa na tunajua kuhonga ndy true love maana wanaume wanajua ukimuomba hela anajua ww Golden digger sasa inabidi utoe ili ajue unampenda na hapo ndipo tunapokufa, huu upuuzi sifanyagi
 
Back
Top Bottom