Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Historia yake huyu binti anaonekana kateseka sana....katoka familia maskini sana...... kafanya kazi za kimaskani sana....anaanza kutoka kidogo.....familia sasa inaanza kutabasamu kidogo .....lakini akiwa hajafanya cha maaana......anaingia adui mapenzi.......anaivuruga akili yake......anasahau kutafuta mchumba wa kaliba yake kijijini .....anajiona wa mjini....anaokota na yeye magumekonki yaliyokubuhu mjini...yanayotumia kila ya haramu...eti naye aonekani wa mjini.....ona..sasa!!!!! si mkatoliki huyu??? kwanini asingefuata tamaduni za kikatoliki kumpata mume bora!!!!!?? si mkerewe huyu!!!!??? kwa nini asingefuata mila za ku ukerewe kumpata Mume anayeendana naye!!!!?? haya mchuma janga hula na wa kwao
 
Ni sawa mkuu, lakini mimi sioni kama kaka mtu hapo anayo nafasi ya kuingilia mifarakano ya X wa dada yake.
Kumbuka wakati wanapeana utam hadi binti akakubali kutoa fungu sote hatukuwepo na hakuna mwenye anajuwa wawili hao waliongea nini.
Kabisa[emoji119][emoji119]
 
anadai alimpa mlela kila kitu, sasa cjui alimpa mpaka na 071 ndio maana anaumia sana kuachwa
 
Kwan shida nn?! Nimeiona kwa Millard Ayo muda si mrefu. Dada analalamika sijui Mlela alimpa nn huyu mhaya wa watu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukutaaaaaaa Mpwaaaaaaaaaaa haoooo ukirukaaaa lazimaaa wakutafuteee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…