Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Hivi mlela ni wa kuzaa na mtu yule huyo mtoto si atakuwa bwabwa

Wanawake bhana mnaweza zaa hata na masokorindo [emoji1787][emoji1787]

Bora umshauri akatafute hela aanze upya maisha yake .

Sasa kujibebesha mimba ndio ushauri [emoji44]
Ndio wanavyoshauriana hivyo kwenye magroup yao ya WhatsApp baadae wanakuja kulia na kuomba msaada wa mtoto.
 
Hivi mlela ni wa kuzaa na mtu yule huyo mtoto si atakuwa bwabwa

Wanawake bhana mnaweza zaa hata na masokorindo [emoji1787][emoji1787]

Bora umshauri akatafute hela aanze upya maisha yake .

Sasa kujibebesha mimba ndio ushauri [emoji44]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km nia ni kumkomoa na kumpelekesha then mimba ingesaundi kuliko alivyoenda kuvamia empty. Kundi la Akina mlela ni la Mario huwa hawahangaiki na wanawake wenye njaa wao ni wadangaji full. Hata hemmed anawadanga mama watoto wake
 
Hapo ebitoke amekosea angemtegeshea mimba ili anapomvamia hapo iwe madai ya kutelekeza mimba....kifupi mlela angegeuka mtumwa wa ebitoke. Sasa hapo anaonekana fala flani maana mwanaume atakuachaje ukamfanyie vurugu? Ukiwa na mimba au mtoto ndo inasaundi na angepata sapoti... Ila wanaume nyoko sana akishakukojolea na kazi yako imeisha...
Sorry una akili za ajabu sana kwa hiyo Mwanaume kumtegeshea mimba ndio kumkomoa yaani huyo mpaka poda unamtegeshea nyie ndio mnasababisha watoto ombaomba mtaani.
 
Aiseee... tatizo sio dyudyu ,huyo mlela kachukua pesa mingi sana za huyo ebitoke,si unajua mapenzini tena dada alikuwa amevunja akaunti,kumbe jamaa alikuwa anamtumia tu.ndo maana muhaya ana hasira,( nasikia kuna kahela ebi aliwekeza kwenye project fulani ambayo huyo marioo aliomba assist.sasa baada ya kufanikiwa kamgeuka. Ni kesi inayofanana na ile sisi wanaume inatupata ile ya kusomesha mchumba.
Ila walimwambia, aachane na Mlela akaona kapata [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom