babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Fikiria hela yenyewe kamevunja kibubu kuigiza kwa kupaka masizi kote kule leo marioo mmoja anachukua kilaini anasepa.Arudishe pesa za mtoto wa watu, mjini kaja muda mrefu alikuwa anafanya nini? Kama kweli Ebitoke mshitaki tu arudishiwe mpunga wake. Au mloge tu kwani nini bana