Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

















Mapenzi bwana, mwingizaji maarufu Ebitoke amevamia mkutano aliofanya mpenzi wake wa zamani bwana Mlela akimtuhumu kumlaghai

Katika purukushani hizo Ebitoke ambaye alifuatana na kaka yake,Kaka wa Ebitoke anamtuhumu bwana Mlela kumwaribia maisha dada yake.

Hata hivyo waliondolewa ukumbini na mabaunsa.

Mbaya zaidi ametoa matusi mazito adharani,nitashangaa sana BASATA na TCRA wakikaa kimya katika hili.

Pia nadhani mnaona umuhimu wa kuwa na mlinzi.,coz bila wao hali ingekuwa tete.
Ila kupendwa na mwanamke raha sana.
 
Aliyekuambia tutakwenda kwenye uchaguzi Nani? Unakwenda chagua mtu ambaye tayari kisha chaguliwa? Wapo watakaokwenda tuache tujifariji tafadhali
Dar hampo SERIOUS kabisa, yani waTanzania wapo bize na Mambo ya Uchaguzi serikali za Mitaa na upumbavu wa Waziri JAFUU nyie mnaleta upumbuani, kwanza mmetumwa na UVCCM kupoteza watu na yanayojiri, wapumbavu sana
 
Fikiria hela yenyewe kamevunja kibubu kuigiza kwa kupaka masizi kote kule leo marioo mmoja anachukua kilaini anasepa.
Mlela ana muonea mtoto wa watu. Ebitoke aende kwenye media aseme ukweli jamaa kamtapeli. #STAND FOR EBITOKE!
 
Aliyekuambia tutakwenda kwenye uchaguzi Nani? Unakwenda chagua mtu ambaye tayari kisha chaguliwa? Wapo watakaokwenda tuache tujifariji tafadhali
Umenena vyema.
Sija maanisha hawa wasanii waende lakini wawe na msimamao, walau wachangie kuhamasisha kususia mbinu hovyo kabisa za jiwe alizofunzwa na kagaamyee
 
Mlela kazaliwa Kinondoni ndio maana hakupata shida kumtapeli wa 'kuletwa' [emoji3][emoji3][emoji3], mahakamani akafuate nini ana maandishi ya kupeana hizo pesa?
Sio lazima maandishi ata sms za kuomba pesa zinatosha kufungua case, transaction zote alizofanya kwenda kwa mlela zinatosha kufungua case ya madai
 
Back
Top Bottom