UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hao walipeana hela kienyeji kisa walikuwa kwenye mapenzi hakuna maandishi hapo ndiyo maana Ebitoke anatokwa mapovu tu,halafu tapeli tapeli tu haijalishi katumia njia ya mapenzi au urafiki hivyo kaka mtu kaona hawezi kukaa tu kimya dada yake atapeliwe.Kama kuna kautapeli, basi wanatakiwe wafuate proper chanel and procedures ili haki yao ioatikane. Sio kaka kumsindikiza dada kwenye kuvamia na kufanya fujo udangani