Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] wenzetu hawanunui magunia ya mkaa wala kuchapa mtu risasi,wanafanya hivyo tu yaan..[emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahio Ebitoke kapigwa hela kumbe. Kupeana fadhila za hela kwa dhamana/ahadi za mapenzi ni uzwazwa sana.

Hela inauma jamani hasa pale ambapo mapenzi yamekata ghafla kabla ya ahadi haijatimia. Unaweza kata shingo ya mtu hasa unaona bwege anakula hela yako na malaya mwingine duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lazma upigane.
 
Huyo kaka mtu ni mpumbavu wa mwisho kabisa duniani, yaani anamsindikiza dada yake kufanya fujo udangani....!!??
Nimejikuta nawaza mara kadhaa kama huyo kaka wa Ebitoke ni mwanaume kamili ama tayari nayeye anapaka poda...
Unaambiwa, ebi alitoa tgo ili aolewe, unaambiwa baada ya kutoa, jamaa akampotezea.
Sasa kaka yake kamsindikiza kudai uharibifu.
 
Huyu bibie huko Instagram walimwengu walikuwa wanamwambia bibie jiongeze huyo mpaka poda atakuliza siku akawa anajibu utumbo😁😁😁
Ngumu sana kumshauri mwanamke aliezama penzini, au mwanaume mwenye pesa! Ni ngumu sana!!!

Akicheki jamaa HB alijua kashamteka kumbe mwamba yupo ki miamala zaidi.
 
Huyo kaka mtu ni mpumbavu wa mwisho kabisa duniani, yaani anamsindikiza dada yake kufanya fujo udangani....!!??
Nimejikuta nawaza mara kadhaa kama huyo kaka wa Ebitoke ni mwanaume kamili ama tayari nayeye anapaka poda...
Mlela amesema sio kaka yake baharia tuu yule tena wanapigana miti.
Halafu huyo jamaa anatafuta kuonekana au kuwa maarufu kupitia ebitoke.
 
Aiseee... tatizo sio dyudyu ,huyo mlela kachukua pesa mingi sana za huyo ebitoke,si unajua mapenzini tena dada alikuwa amevunja akaunti,kumbe jamaa alikuwa anamtumia tu.ndo maana muhaya ana hasira,( nasikia kuna kahela ebi aliwekeza kwenye project fulani ambayo huyo marioo aliomba assist.sasa baada ya kufanikiwa kamgeuka. Ni kesi inayofanana na ile sisi wanaume inatupata ile ya kusomesha mchumba.
Kumbe jamaa ni marioo.
 
Back
Top Bottom