Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Kama kuna kautapeli, basi wanatakiwe wafuate proper chanel and procedures ili haki yao ioatikane. Sio kaka kumsindikiza dada kwenye kuvamia na kufanya fujo udangani
Hao walipeana hela kienyeji kisa walikuwa kwenye mapenzi hakuna maandishi hapo ndiyo maana Ebitoke anatokwa mapovu tu,halafu tapeli tapeli tu haijalishi katumia njia ya mapenzi au urafiki hivyo kaka mtu kaona hawezi kukaa tu kimya dada yake atapeliwe.
 
Hapo ebitoke amekosea angemtegeshea mimba ili anapomvamia hapo iwe madai ya kutelekeza mimba....kifupi mlela angegeuka mtumwa wa ebitoke. Sasa hapo anaonekana fala flani maana mwanaume atakuachaje ukamfanyie vurugu? Ukiwa na mimba au mtoto ndo inasaundi na angepata sapoti... Ila wanaume nyoko sana akishakukojolea na kazi yako imeisha...
Kama Jamaa Alikua Anavaa Mpira Angeitegeshaje?
 
Eti ninyi waandishi wa habari, mliitikia wito wa wasanii kwa ajenda zipi hasa? Ni kweli wasanii wa kibongo wengi mbumbumbu ila ninyi waandishi mmezidi bana.
 
Hao walipeana hela kienyeji kisa walikuwa kwenye mapenzi hakuna maandishi hapo ndiyo maana Ebitoke anatokwa mapovu tu,halafu tapeli tapeli tu haijalishi katumia njia ya mapenzi au urafiki hivyo kaka mtu kaona hawezi kukaa tu kimya dada yake atapeliwe.
How old are you...??
Maana nisije nikajikuta nabishana kinder boy hapa
 
Back
Top Bottom