Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Hapo ebitoke amekosea angemtegeshea mimba ili anapomvamia hapo iwe madai ya kutelekeza mimba....kifupi mlela angegeuka mtumwa wa ebitoke. Sasa hapo anaonekana fala flani maana mwanaume atakuachaje ukamfanyie vurugu? Ukiwa na mimba au mtoto ndo inasaundi na angepata sapoti... Ila wanaume nyoko sana akishakukojolea na kazi yako imeisha...
Je mlela mleaji mimba na mtoto?
 
Ukiweza kuchezea kisimi chabint wakihaya ukimkojolesha huyo utakufa nae mzee,jamaa inawezekana alimpatia sana
Kwan shida nn?! Nimeiona kwa Millard Ayo muda si mrefu. Dada analalamika sijui Mlela alimpa nn huyu mhaya wa watu..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Arudishe pesa za mtoto wa watu, mjini kaja muda mrefu alikuwa anafanya nini? Kama kweli Ebitoke mshitaki tu arudishiwe mpunga wake. Au mloge tu kwani nini bana
Mlela kazaliwa Kinondoni ndio maana hakupata shida kumtapeli wa 'kuletwa' [emoji3][emoji3][emoji3], mahakamani akafuate nini ana maandishi ya kupeana hizo pesa?
 
Yan ni aibu kaka kuingilia mahusiano ya dadako, wakati anatongozwa ulikuepo? Au alikuomba ushauri? Yan huyu jamaa namuona bwege sana. Eti "umemwaribia maisha mdogo wangu" hii ni aibu kwani kulikua na mtakataba wa kutoachana?

Wadau mnaonaje hiki kitendo?
 
Hapo ebitoke amekosea angemtegeshea mimba ili anapomvamia hapo iwe madai ya kutelekeza mimba....kifupi mlela angegeuka mtumwa wa ebitoke. Sasa hapo anaonekana fala flani maana mwanaume atakuachaje ukamfanyie vurugu? Ukiwa na mimba au mtoto ndo inasaundi na angepata sapoti... Ila wanaume nyoko sana akishakukojolea na kazi yako imeisha...

Tukishakojoa hauna tena thamani
 
Ni sawa mkuu, lakini mimi sioni kama kaka mtu hapo anayo nafasi ya kuingilia mifarakano ya X wa dada yake.
Kumbuka wakati wanapeana utam hadi binti akakubali kutoa fungu sote hatukuwepo na hakuna mwenye anajuwa wawili hao waliongea nini.
Kaka kaanza kulalamika muda tu kwa Ebi amewafungia vioo ndugu wote kisa Mlela wakijua kabisa hakuna penzi anatapeliwa, Mimi Nina wasiwasi na huyu "Kaka" wa Ebitoke
 
Ebitoke alisikika kwenye Interview moja kwamba alikuwa akimpa kilakitu Mlela.
Inasikitisha sana,yawezekana bint wawatu alitoa mpaka Dublee ili kumfurahisha BAHARIA.
Sasa kaharibiwa marinda anavaa mi Pampasi.
 
Back
Top Bottom