Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Wewe mtu wa Ushirombo kaka mtu kashirikishwa baada ya kupewa utapeli wote alligator huyo Mlela akimlaghai aidha kumuoa. Kuna baadhi ya watu huchukia sana dada zao kuchezewa na kutapeliwa. Siku zote mwanaume anayependa kutapeli huwa haachi kuvaa miwani myeusi
Kuna tetesi zisizo rasmi zinasemekana kwamba jamaa alijifanya kaka nayeye sio ndugu wa Ebitoke, na taarifa za kunyapia zinasema kwamba mshkaji pia anamtafuna Ebitoke.....
 
Yan ni aibu kaka kuingilia mahusiano ya dadako, wakati anatongozwa ulikuepo? Au alikuomba ushauri? Yan huyu jamaa namuona bwege sana. Eti "umemwaribia maisha mdogo wangu" hii ni aibu kwani kulikua na mtakataba wa kutoachana?

Wadau mnaonaje hiki kitendo
Yan ni aibu kaka kuingilia mahusiano ya dadako, wakati anatongozwa ulikuepo? Au alikuomba ushauri? Yan huyu jamaa namuona bwege sana. Eti "umemwaribia maisha mdogo wangu" hii ni aibu kwani kulikua na mtakataba wa kutoachana?

Wadau mnaonaje hiki kitendo?

Wanaume wa Dar sijui mnakwama wapi?
 
Nimeangalia ile video mwanzo Ebitoke anaingia kwenye mkutano nimejiuliza maswali hao mabaunsa ilikuwaje wakamuachia apite maana anamvua mpenzi mpya wa Mlela wigi anamkunja. Kingine kilichonishangaza ni Mlela kuzubaa laiti kama Ebitoke angekuja na siraha nina hakika yule mwanamke mpya angeumia.
 
Back
Top Bottom