ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Siwezi kuanzisha kwa sababu mm sina unafiki kama ww.Waanzishie wewe nyuzi zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuanzisha kwa sababu mm sina unafiki kama ww.Waanzishie wewe nyuzi zao.
Kwa kweli wale waarabu wameniudhi sana kuua watanzania wenzetu na labda wasingefanya hivyo ningeweza kuwa na msimamo tofauti na nilionao juu yao kwa sasa ila kwa sasa naona yanayowapata ni halali kabisa.Sasa kama unalijua hilo mbona unashinda humu ukishangilia Netanyau anavyo uwa watu tena watoto wachanga?
Ww unasikiliza and watch western news ambazo zimebeba uhasama na nchi zenye rasilimali asili,as long as umewakataa western watakupatia majina yote mabaya ili kufanya watakayo but I’m sure jamaa misimamo yake ya kidini and kulinda misingi ya nchi ndio iliomfikisha hapa.Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishia na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.
Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Wa-Iran wenye uraia wa nchi mbili hasa za magharibi walikumbana na mkono wake katili haswa, alibuni mpango wa kuwatumia kama chambo katika migogoro ya Iran na magharibi kwa kuwavizia na kuwakamata akiwasingiza uhaini kisha kuwatumia kama karata turufu kwenye majadiliano mbalimbali na West.
Huenda wahanga kutoka familia nyingi kwa maelfu ndani na nje ya Iran zilizoathiriwa naye wanaomba helicopter hiyo isipatikane kabisa na hawawezi kulaumiwa kwa hilo.
Ubinadamu kazi.
Wakifanya CIA na MOSSAD ni sawa.Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishia na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.
Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Wa-Iran wenye uraia wa nchi mbili hasa za magharibi walikumbana na mkono wake katili haswa, alibuni mpango wa kuwatumia kama chambo katika migogoro ya Iran na magharibi kwa kuwavizia na kuwakamata akiwasingiza uhaini kisha kuwatumia kama karata turufu kwenye majadiliano mbalimbali na West.
Huenda wahanga kutoka familia nyingi kwa maelfu ndani na nje ya Iran zilizoathiriwa naye wanaomba helicopter hiyo isipatikane kabisa na hawawezi kulaumiwa kwa hilo.
Ubinadamu kazi.
Uwezo wako wakufikili ndio umeishia hapo?Atakumbukwa zaidi na Magaidi ya Kataib Hezbola ya Iraq atakumbukwa na Magaidi ya Hezbola atakumbukwa na Magaidi ya Hamas atakumbukwa na Magaidi yanayotutesa ya Houthi.
Atakumbukwa na Magaidi ya Boko Haram na Alshababu atakumbukwa na Magaidi ya Al Qaida.
Atakumbukwa na kufanyiwa Dua na Magaidi ya Uamsho huko Zanzibar.
Ni bora ungezipangua hizo hoja.Uwezo wako wakufikili ndio umeishia hapo?
Of course yesKwa mujibu wa mtoa post ni kwamba rais amefariki
Hii itakuwa ni fundisho kwa wengine. Naamini ni ushindi kwa Netanyahu na kazi yake iliyotukukaAtakumbukwa zaidi na Magaidi ya Kataib Hezbola ya Iraq atakumbukwa na Magaidi ya Hezbola atakumbukwa na Magaidi ya Hamas atakumbukwa na Magaidi yanayotutesa ya Houthi.
Atakumbukwa na Magaidi ya Boko Haram na Alshababu atakumbukwa na Magaidi ya Al Qaida.
Atakumbukwa na kufanyiwa Dua na Magaidi ya Uamsho huko Zanzibar.
Hongera ,kumbe mwenzetu ,ulisiki kishindo!Kafa...maana kuna ukungu mkubwa na ndege imeanguka kwa kishindo kikubwa. Kafa.
alimchinja bibi yako? bibi yako si kacinjwa na wajurumani?Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishia na uongozi wake mrefu ndani ya Iran.
Huyu bwana alianza kama mwendesha mashitaka na baadaye naibu mwanasheria mkuu katika wa serikali ya Iran, alikuwa mjumbe pia katika kamati za mauaji. Chini yake katika nafasi hizo mbalimbali akifanya kazi kwa ukaribu na mahakama ilishuhudiwa watu zaidi ya 8,000 wakinyongwa na maelfu wengine wakitupwa jela, kupotea au kupata adhabu za utesaji mkuu uliopitiliza kwa sababu za kisiasa na mambo mengine yanayoitwa ya kimaadili.
Wa-Iran wenye uraia wa nchi mbili hasa za magharibi walikumbana na mkono wake katili haswa, alibuni mpango wa kuwatumia kama chambo katika migogoro ya Iran na magharibi kwa kuwavizia na kuwakamata akiwasingiza uhaini kisha kuwatumia kama karata turufu kwenye majadiliano mbalimbali na West.
Huenda wahanga kutoka familia nyingi kwa maelfu ndani na nje ya Iran zilizoathiriwa naye wanaomba helicopter hiyo isipatikane kabisa na hawawezi kulaumiwa kwa hilo.
Ubinadamu kazi.
Kwani hujui Iran ndio nchi ambayo imebeba deni letu la nje kwa asilimia kubwa mpaka sasa ?Umenikumbusha Membe alivyosema msaada hata kama umetoka kwa shetani tutaupokea tu kwa sababu sisi ni Masikini
Ongeza na PutinSi bora huyo ni watu 8000 tu tena wairani wenzake ,vipi akina Baden, Bush,na akina Netanyau ambao wameshababisha madhira kwa mamilioni ya watu kote duniani mbona hujawahi huwaanzishia uzi?
Hata katika mfumo ovu na katili huwa kuna watu wanaoenda mbali zaidi na kuwazidi wenzao katika kutekeleza mambo maovu ya huo mfumo katili.Shida siyo Yeye! Shida ni mfumo wa Utawala unaoongozwa na Sharia za Kiislamu!
Hata akitoka huyo anaweza kuingia mwingine ambaye ni mbaya zaidi kuliko huyo!
Iran itakuwa huru mpaka Mfumo huo utakapovunjwa!