Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

Sasa kama unalijua hilo mbona unashinda humu ukishangilia Netanyau anavyo uwa watu tena watoto wachanga?
Kwa kweli wale waarabu wameniudhi sana kuua watanzania wenzetu na labda wasingefanya hivyo ningeweza kuwa na msimamo tofauti na nilionao juu yao kwa sasa ila kwa sasa naona yanayowapata ni halali kabisa.
 
Ww unasikiliza and watch western news ambazo zimebeba uhasama na nchi zenye rasilimali asili,as long as umewakataa western watakupatia majina yote mabaya ili kufanya watakayo but I’m sure jamaa misimamo yake ya kidini and kulinda misingi ya nchi ndio iliomfikisha hapa.
US wameblock mpk kuingiza chochote toka nchi yyt hizi helicopter zinazodoka zina 20+old wao wanafanya maintenance tu lkn zimechoka mno
 
Wakifanya CIA na MOSSAD ni sawa.

Wakifanya wengine ni haram.

Serikali kuua ni jambo la kawaida
 
Uwezo wako wakufikili ndio umeishia hapo?
 
Yeye alikuwa anatekeleza sheria iliyoundwa . Sasa kosa lake nini? Au alitafsiri sheria kwa matakwa yake?
 
Hii itakuwa ni fundisho kwa wengine. Naamini ni ushindi kwa Netanyahu na kazi yake iliyotukuka
 
alimchinja bibi yako? bibi yako si kacinjwa na wajurumani?
 
Umenikumbusha Membe alivyosema msaada hata kama umetoka kwa shetani tutaupokea tu kwa sababu sisi ni Masikini
Kwani hujui Iran ndio nchi ambayo imebeba deni letu la nje kwa asilimia kubwa mpaka sasa ?
Au inajitoa ufahamu ?
 
Si bora huyo ni watu 8000 tu tena wairani wenzake ,vipi akina Baden, Bush,na akina Netanyau ambao wameshababisha madhira kwa mamilioni ya watu kote duniani mbona hujawahi huwaanzishia uzi?
Ongeza na Putin
 
"For all they that take the sword shall perish with the sword."By Jesus Christ of Nazareth 🤔
Matthew 26:52
 
Shida siyo Yeye! Shida ni mfumo wa Utawala unaoongozwa na Sharia za Kiislamu!
Hata akitoka huyo anaweza kuingia mwingine ambaye ni mbaya zaidi kuliko huyo!
Iran itakuwa huru mpaka Mfumo huo utakapovunjwa!
Hata katika mfumo ovu na katili huwa kuna watu wanaoenda mbali zaidi na kuwazidi wenzao katika kutekeleza mambo maovu ya huo mfumo katili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…