Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

Muhimu kazi ilifanyika na Iran iko salama
 
Si bora huyo ni watu 8000 tu tena wairani wenzake ,vipi akina Baden, Bush,na akina Netanyau ambao wameshababisha madhira kwa mamilioni ya watu kote duniani mbona hujawahi huwaanzishia uzi?
Umeongea point sana mkuuu watu wana mihemko ya kuandika tu
 
Death to America
Death to America

Limekufa linyewe
 
😀 😛Taifa la Mungu kitovu cha ushoga , huyo Mungu wenu ana matatizo sana ndio kaleta ushoga.
 
Safi Sana. Unaanzisha vita halafu hujitambui. Stupid.
 
mbona hukuwataja m23,akili za kupewa
 
Nae yamempata hata mwili wake hawatauona.

Aliua sana waandamanaji huyu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…