Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

Mshenzi mkubwa ww
Huna unachojua ila matusi na chuki,umekua brain washed na western propaganda,husikii wala huoni.Kwan tatizo liko wapi
Ww subiria pepo yako atakayokupa Yesu na mm nisubirie mabira 72.otherwise shut ur bakuli and learn to be a great thinker

Pepo ya bikra 72 ina mhusu mtu wa
 
jamaa ana wivu kweli na raha zetu za milele
 
Wewe kama wewe unakubalije kuwa kisababishi cha ajali ni hali ya hewa kuwa mbaya ilhali kuna chopa zingine, zilipita na kutua pasipo matata?
Kwasababu taarifa tumeona na ukungu mkubwa Sana ulikuwepo pale ndio maana hata waokoaji wa mwanzo walisitisha zoezi mpaka walipopata msaada wa Uturuki ndio wakaweza kuona mabaki ya ile ndege, naweka kumbumbuku sawa mkiwa kwenye ugomvi sio kwamba kifo kitakuacha , muda ukifika ni kifo tu
 
inasikitisha ila waliyataka wenyewe, hasa yule minster of foreign affair mwenye kiburi na jeuri. wakabidhiwe tu mabikira yao 72 huko waendelee, mtaji kiuno.
 
Mkuu hivi ile helicopter ilitengenezwa wapi na nchi Gani?
Helcopta ni Made in USA aina ya Bell. Made in 1979, spare kwa sababu ya Vikwazo vya USA walikuwa hawawezi pata. Huenda waliuziwa spear za Black market watu wakaweka "Stuxnet like Virus" , time imefika wakachomoa Betri
 
Kwa hiyo coup attempt in Kinshasa na helicopter crash zimetokea siku moja?
 
Hata Ebrahim alikatisha maisha ya wengi enzi zake, siku ya kufa ikifika hata bodyguard huwa hapingi.
alifanya kazi yake kwa maslahi mapana ya nchi bila kujali wengine watasemaji, na hata asingefanya bado angekufa tu kwa ajali hiyo hiyo ya ndege, hivyo hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya matendo yako na kifo chako
 
So wameshangilia kifo chake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…