Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
View attachment 204940
Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.
View attachment 204961siku hizi kawa star sidhani hata kama ananikumbuka
Nikiwa la tano kuna dada nilimpenda sana, nilikuwa siondoki kwenda shule hadi nimuone anapita ndo nafuata nyuma. Sikuwahi kufanya nae matusi, ila kwakweli namfeel.
Popote ulipo Juliana, pokea busu hili mwaaaaaa

Namkumbuka Subira wangu nilikuwa namnanihii darasani jioni coz nilikuwa mfunga milango ya madarasa na mshusha bendera jioni ile. Sijui kako wapi ka-Subira..