Ebu niambie unapoona hii kitu unamkumbuka nani katika mahusiano

Mallata Jr.

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
461
Reaction score
392
15675_376706079146864_2115129437822719143_n.jpg

Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.
 
Dah Mkuu umenikumbusha mbali kweli yani. kuna bibie mmoja nilitokea kumpenda huwezi kuamini nilikuwa ndo kwanza darasa la pili,...yaan hadi naua class 7 tulikuwa mabest ile mbaya! Tukaja poteza nae, nimekuja kukuta nae juzijuzi(now we are more than 22) amekuwa amebadilika na hana msisimko tena na mimi.

Inaniumiza sana hii kitu.

Anyway wherever you are I'll not stop to love you TRS L.
 
Umenikumbusha mbali sana daah,kuna dada nilikuwa namzimia nikiwa la nne,Ila ameolewa iliniuma sana
 
Nikiwa la tano kuna dada nilimpenda sana, nilikuwa siondoki kwenda shule hadi nimuone anapita ndo nafuata nyuma. Sikuwahi kufanya nae matusi, ila kwakweli namfeel.

Popote ulipo Juliana, pokea busu hili mwaaaaaa
 
Aise! nikiwa darasa la 4 kuna dada alinipenda sana baada ya kufaulu kwa kiwango cha juu mtihani wa darasa la 4 kuingia la 5, sasa huyu dada akataka niwe na mahusiano naye lakini sijui ilikuwa ni ushamba au nini!! sikuwa na muda naye, hadi leo barua aliyoniandikia kipindi hicho ninayo, nasikia kwa sasa alishaolewa!

Mungu angejua siku moja anaturudisha miaka ya nyuma ingekuwa safi sana.
 
View attachment 204940

Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.

1416749363648.jpgsiku hizi kawa star sidhani hata kama ananikumbuka
 
Nikiwa la tano kuna dada nilimpenda sana, nilikuwa siondoki kwenda shule hadi nimuone anapita ndo nafuata nyuma. Sikuwahi kufanya nae matusi, ila kwakweli namfeel.

Popote ulipo Juliana, pokea busu hili mwaaaaaa

Unamaanisha Juliana ninaye mfahamu mimi au mfanano wa majina?......forever friendship
 
View attachment 204940

Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.

Namkumbuka Subira wangu nilikuwa namnanihii darasani jioni coz nilikuwa mfunga milango ya madarasa na mshusha bendera jioni ile. Sijui kako wapi ka-Subira..
 
Nikiwa la tano kuna dada nilimpenda sana, nilikuwa siondoki kwenda shule hadi nimuone anapita ndo nafuata nyuma. Sikuwahi kufanya nae matusi, ila kwakweli namfeel.

Popote ulipo Juliana, pokea busu hili mwaaaaaa

Hahahahahahhh eti matusi!!!
 
Aisee mi nakumbuka huyo kaka alikuwaga time-keeper alikuwaga ananifukuzia mi kipindi hicho nlikuwa la tano ye la saba. Nilikuwa nampenda ila nlikuwa naogopa kumkubalia.Bas hiyo kengere ilikuwa karibu na darasa letu kila akienda kugonga kengele ya mapumziko lazima nimchungulie daaah... Alipomaliza alienda kusoma boarding akawa kila akirudi likizo haachi kunifukuzia.....badae nlimkubalia tukawa tunaandikiana barua ila kumsogelea hivi nlikuwa naogopa kama nini. Siku hizi nasikia ni dereva wa halmashauri fulani ktk wilaya fulani hivi.....
 
Back
Top Bottom