Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392

Najua utakataa lakini ulipo kuwa shule ya msingi kuna mtu alikuwa anakuumiza nafsi na hatimaye ukatengana naye mara baada ya kumaliza. Sasa basi napenda upate fursa ya kuieleza jamii nini unakumbuka unapoiona hiyo kitu hapo juu katika hadithi yako ya mahusiano. Maana wengi wetu tumeanza kubarehe tukiwa shule za msingi na kama unavyo jua mihemko pindi tunapo barehe.

