Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi
Screenshot_20260712_180601_Google.jpg

Baadae nikaja kupata albamu hard blasters, akiwemo profesa jay kama hajawa solo artist, hapo ndipo nilipojua kuwa kumbe wabongo wana chana sana aisee, kuna ambayo niliipenda inaitwa "mamsap"
Screenshot_20260712_180951_Google.jpg

Baadae sasa ndio nikaja kumjua jamaa anaitwa dully sykes, alikuja na style ya kuchana na kuimba, nq katika kanda ile kulikuwa na wimbo ambae mama yangu hakupenda niusikkie alikuwa anasema ni matusi, ule wimbo uliitwa "nyambizi"

Hapa ndipo tulipowajua daz nundaz na songi lao la kamanda ambalo hadi leo likipigwa aisee linaleta hisia

Kuanzia 2001, 2002, 2003, hii sasa ndio ilikuwa golden age ya muziki wa bongo flava, hapa ndipo tulipoona mautundu ya maprodyuza mkali aitwae majani ambaye ndio alikuja kufanya mageuzi ya sound ya bongoflava.
Screenshot_20260713_121535_Instagram.jpg

Huu wakati ndio tulimpata msanii wa taifa, aitwae juma nature, ni mtu amba kanda zake ziliennda kwa wingi sana, huu pia ndio ulikuwa wakati ambao professor alikuwa ni mtu albamu baada ya albamu, ngwair alikuwa wa moto sana

2000 kati kati ndipo wasanii wengi wakuimba ndio waliwika sana, huku studio nyingi zinaoendana na kuimba ndio zlishika kasi. Mfano G-records.

Hadi 2010, bongo flava ilikuwa na rundo la wasanii, walitengeneza ngoma kwa ladha zilizo tofauti bilaa kuigana, ndio maana hadi leo muziki wao unakupa nostalgia

Baada ya 2010 muziki wa bongoflava ukaanza kuiba ladha za kisauzi, wasanii kuwa na sound na style za kufanana. Maslahi bado yakiwa madogo, huku wengine wakitoa hit moja huwaoni tena.

Ila baada ya 2015, ndipo tulipoona wasaani wakianza kuwa maisha mazuri kupitia muziki, sio tu vipaji vyao ila pia ustaa na jina lao umewalipa.

Katika utu uzima wangu ndio nikaja kujua muziki huu kabla ya ile kanda ya kwanza ya sugu bamdogo wangu kuileta home. Nilikuja kujua huu muziki miaka ya 90 uliwahi kuwa na watu kama balozy na saigon (deeplowmatz), kwanza unit, mr paul na crew yake ya kuimba RnB, etc

View: https://youtu.be/6ICsA5_1cm4?si=x_m4iHShbLLJaJ5o
 
My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi
View attachment 3627678

Baadae nikaja kupata albamu hard blasters, akiwemo profesa jay kama hajawa solo artist, hapo ndipo nilipojua kuwa kumbe wabongo wana chana sana aisee, kuna ambayo niliipenda inaitwa "mamsap"
View attachment 3627680

Baadae sasa ndio nikaja kumjua jamaa anaitwa dully sykes, alikuja na style ya kuchana na kuimba, nq katika kanda ile kulikuwa na wimbo ambae mama yangu hakupenda niusikkie alikuwa anasema ni matusi, ule wimbo uliitwa "nyambizi"

Hapa ndipo tulipowajua daz nundaz na songi lao la kamanda ambalo hadi leo likipigwa aisee linaleta hisia

Kuanzia 2001, 2002, 2003, hii sasa ndio ilikuwa golden age ya muziki wa bongo flava, hapa ndipo tulipoona mautundu ya maprodyuza mkali aitwae majani ambaye ndio alikuja kufanya mageuzi ya sound ya bongoflava.

Huu wakati ndio tulimpata msanii wa taifa, aitwae juma nature, ni mtu amba kanda zake ziliennda kwa wingi sana, huu pia ndio ulikuwa wakati ambao professor alikuwa ni mtu albamu baada ya albamu, ngwair alikuwa wa moto sana

2000 kati kati ndipo wasanii wengi wakuimba ndio waliwika sana, huku studio nyingi zinaoendana na kuimba ndio zlishika kasi. Mfano G-records.

Hadi 2010, bongo flava ilikuwa na rundo la wasanii, walitengeneza ngoma kwa ladha zilizo tofauti bilaa kuigana, ndio maana hadi leo muziki wao unakupa nostalgia

Baada ya 2010 muziki wa bongoflava ukaanza kuiba ladha za kisauzi, wasanii kuwa na sound na style za kufanana. Maslahi bado yakiwa madogo, huku wengine wakitoa hit moja huwaoni tena.

Ila baada ya 2015, ndipo tulipoona wasaani wakianza kuwa maisha mazuri kupitia muziki, sio tu vipaji vyao ila pia ustaa na jina lao umewalipa.
Mimi nawauliza swali moja tu Mnataka arena au hamtaki?
 
Ongelea pia...Wimbo -"Zali La Mentali-".Wa Profesa Jay...ndipo mjadala jadidifu uendeleeee
 
Miaka nasikiliza huu music sisi wengine tulianza na michano ya Saleh Jabir ambaye yeye aliziimba nyimbo za miaka hiyo kwa kiswahili kama Ice ice baby n.k

Then Diplomatz, Gangster With Matatizo. GWM, kulikuwa na Weusi Wagumu Asilia, 2 Proud na nyimbo za Ni Mimi, Nachekelea kwenye Chezo n.k

Wakati huo alikuwepo Jos Mtambo na wimbo Kithaa thaa, Solo Thang alikuwa na wimbo wake mmoja umenitoka... Miaka ya 90s hiyo kama sikosei 94 au 95...

Hard Blasters walikuja kuwika baadaye kidogo late 90s nadhani kama sikosei 98 au 99... Kipindi hicho nami nlikuwa natunga mistari sikuwahi enda studio. Ila nlikuwa mdau mzuri wa Hip Pop... So akina Dully hawakuwa sehemu ya watu naowasikiliza nliona wanaimba nyimbo nyepesi za mabitozi.

Music wa nje miaka hiyo tunawasikiliza akina Nas, Mase, Puffy Daddy, 2 Pac, Naughty By Nature, Coolio. LL. Cool Jay, Notorious BIG etc tunapozea na akina Keith Sweet, R. Kelly, Boys 2 Men, etc
 
Kwenye Bongo Fleva lakini

1.Dully ni mtu na nusu ni priceless

2.Nature ni mtu priceless

3.Tid ni priceless japo analazimisha tumwone anakuwa kituko.! 🤭

4.Mnyalu anajua value yake hatuna muda wa kuongelea

5.Jide ni malkia wa mziki wa TZ hakuna wa mfano wake awe jinsi alivyo thamani yake haipimiki asijiangaishe
 
Back
Top Bottom