Kuna shoo alikuwa anafanya shoo, Master Jay akamwabia Sugu, ukipanda jukwaani usiimbe huo wimbk wa Mikononi mwa polisi.Nipo mikononi mwa polisi,maisha yangu ni mikosi!
😁😁😁Kuna shoo alikuwa anafanya shoo, Master Jay akamwabia Sugu, ukipanda jukwaani usiimbe huo wimbk wa Mikononi mwa polisi.
Sugu akasema POA.
Akapanda jukwaani si akaaanza kushusha mistari ya huo wimbo bwana
Hivi hiyo inaniuma sana ndio alikuwa anaimba, nikifiria huwaga ninalia inaniuma sanaa, demu amepimwa akakutwa ana ngomaa! Inaniuma sana😅Mimi sijawai elewa ngoma za nature Mimi nakubali nature alikua na chorus Kali
Hit song
Hakuna kulala
Sonia
SITAKI demu
Inaniuma sana
Nini chanzo
Nyingine Huwa sizielewagiii
NdioHivi hiyo inaniuma sana ndio alikuwa anaimba, nikifiria huwaga ninalia inaniuma sanaa, demu amepimwa akakutwa ana ngomaa! Inaniuma sana😅
Sema enzi hizo sisi tulikuwa tunameza tu hata hatuelewi maana! Nikikuimbia nyimbo za dully sykes utacheka! Unateremka ile mistari yake na huna unachoelewa😁Ndio
Siku ya kwanza kukutana nae alikuja kwetu usiku..
☺️😁😁☺️
Asante sana mkuu kwa masahihishoSio Mzee ni chorus tuu wimbo unaitwa Kikao cha dharura
Huo Ugoro si ndio aliopakwa Mama yako baada ya kukeketwa ?