Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

Fanani? Wauhakika nawajibika kwenye fani? KILA kukicha? Dh tunaanza kuwa wazee Sasa.

Time inakimbia mzee. 😆
Tunaweza toa laana.

.. yooh mamsapu
.. jikaze moyo mama,
.. mapenzi sio ugomvi,
.. mapenzi si uhasama,
.. nipe nikupe, mimi hapa ni salama,

Fanani wa uhakika; amekuwa mtu mzima sana. Nimemuona juzi. 😊
 
Miaka nasikiliza huu music sisi wengine tulianza na michano ya Saleh Jabir ambaye yeye aliziimba nyimbo za miaka hiyo kwa kiswahili kama Ice ice baby n.k

Then Diplomatz, Gangster With Matatizo. GWM, kulikuwa na Weusi Wagumu Asilia, 2 Proud na nyimbo za Ni Mimi, Nachekelea kwenye Chezo n.k

Wakati huo alikuwepo Jos Mtambo na wimbo Kithaa thaa, Solo Thang alikuwa na wimbo wake mmoja umenitoka... Miaka ya 90s hiyo kama sikosei 94 au 95...

Hard Blasters walikuja kuwika baadaye kidogo late 90s nadhani kama sikosei 98 au 99... Kipindi hicho nami nlikuwa natunga mistari sikuwahi enda studio. Ila nlikuwa mdau mzuri wa Hip Pop... So akina Dully hawakuwa sehemu ya watu naowasikiliza nliona wanaimba nyimbo nyepesi za mabitozi.

Music wa nje miaka hiyo tunawasikiliza akina Nas, Mase, Puffy Daddy, 2 Pac, Naughty By Nature, Coolio. LL. Cool Jay, Notorious BIG etc tunapozea na akina Keith Sweet, R. Kelly, Boys 2 Men, etc
Nilikuwa nasikliza Jeshi la mtu mmoja Mr2! V/s hard blasters

Hard brastars wanashinda kwa asilimia chache sana za maoni

Sugu moto chini alikuwa wa moto sana
 
Tunapojadili ngoma kali za muda wote za BONGO FLEVA. Tusiache kujadili Mikono (Producers) waliozipika ngoma hizo;

MIKA ALEKSANTERI MWAMBA (MIKA MWAMBA). FM. Studios. Alipiga hii mipini.

Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)
Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya
get down - Prezo ft Naziz (Kenya)
Twenzetu - Chege
Baby Gal + wange - Mad Ice
Maria Salome - Saida Karoli
Kamanda + barua - Daz Nundaz
wanoknok + Taswira + dingi - Mandojo na domokaya
Picco - Kikongwe
Kwenye Chati - Balozi
Mtoto wa geti kali - Inspector Haroun
Elimu mtaani + sauti ya gharama - D knob
Mkiwa - K sal ft Ferooz
Salome + Julieta + Hi - Dully Sykes
Raha tu - AY
Mambo vipi - Mchizi Mox
Solid Ground Family - Bush party
 
Juliet ya dully ndio ilimtoa mika rasmi.
 
Kuna producer pia enrico
MapReduce wa mwanzo kabisa nao

Ova
 
Dah nakumbuka mjomba(RIP)alinunua hiyo album ya Sugu(kipindi hicho nadhani alikwa anajiita 2proud kama sio Mr 2).

Aliacha home tukawa tunasikiliza sema nilikuwa bado mdogo nyimbo zake nilikuwa sizipendi nilikuwa tu nikusikiliza basi.

Nilikuja kupenda ngoma za bongo kuna kipindi bro alikuwa na hivi viredio vidogo unaweka earphone unasikiliza.Alikuwa akienda shule anakiacha nyumbani mpaka arudi likizo.Nilikuwa na enjoy Afro jam ya Kiss Fm(kuna dj alikuwa anaitwa dj maliz kama sijakosea,alikuwa noma mpaka nikapenda u dj)
 
Miaka nasikiliza huu music sisi wengine tulianza na michano ya Saleh Jabir ambaye yeye aliziimba nyimbo za miaka hiyo kwa kiswahili kama Ice ice baby n.k

Then Diplomatz, Gangster With Matatizo. GWM, kulikuwa na Weusi Wagumu Asilia, 2 Proud na nyimbo za Ni Mimi, Nachekelea kwenye Chezo n.k

Wakati huo alikuwepo Jos Mtambo na wimbo Kithaa thaa, Solo Thang alikuwa na wimbo wake mmoja umenitoka... Miaka ya 90s hiyo kama sikosei 94 au 95...

Hard Blasters walikuja kuwika baadaye kidogo late 90s nadhani kama sikosei 98 au 99... Kipindi hicho nami nlikuwa natunga mistari sikuwahi enda studio. Ila nlikuwa mdau mzuri wa Hip Pop... So akina Dully hawakuwa sehemu ya watu naowasikiliza nliona wanaimba nyimbo nyepesi za mabitozi.

Music wa nje miaka hiyo tunawasikiliza akina Nas, Mase, Puffy Daddy, 2 Pac, Naughty By Nature, Coolio. LL. Cool Jay, Notorious BIG etc tunapozea na akina Keith Sweet, R. Kelly, Boys 2 Men, etc
Salehe Jabir kaka wa Salama Jabir anatakiwa kuenziwa yeye ndo alianza japo kwa ngoma za nje yeye akifanya dubbing kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom