nazitafuta sana aiseeAlbum za HBC mpaka Leo nikizipiga madogo wanadata yan Kama zimerekodiwa jana
😅😅😅Nipo mikononi mwa polisi,maisha yangu ni mikosi!
Kwa hiyo unamshauri aache kupiga ugoro!?Bwashee una nyuzi flani kali sana , ukituliza akili.
Mimi nawauliza swali moja tu Mnataka arena au hamtaki?My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi
View attachment 3627678
Baadae nikaja kupata albamu hard blasters, akiwemo profesa jay kama hajawa solo artist, hapo ndipo nilipojua kuwa kumbe wabongo wana chana sana aisee, kuna ambayo niliipenda inaitwa "mamsap"
View attachment 3627680
Baadae sasa ndio nikaja kumjua jamaa anaitwa dully sykes, alikuja na style ya kuchana na kuimba, nq katika kanda ile kulikuwa na wimbo ambae mama yangu hakupenda niusikkie alikuwa anasema ni matusi, ule wimbo uliitwa "nyambizi"
Hapa ndipo tulipowajua daz nundaz na songi lao la kamanda ambalo hadi leo likipigwa aisee linaleta hisia
Kuanzia 2001, 2002, 2003, hii sasa ndio ilikuwa golden age ya muziki wa bongo flava, hapa ndipo tulipoona mautundu ya maprodyuza mkali aitwae majani ambaye ndio alikuja kufanya mageuzi ya sound ya bongoflava.
Huu wakati ndio tulimpata msanii wa taifa, aitwae juma nature, ni mtu amba kanda zake ziliennda kwa wingi sana, huu pia ndio ulikuwa wakati ambao professor alikuwa ni mtu albamu baada ya albamu, ngwair alikuwa wa moto sana
2000 kati kati ndipo wasanii wengi wakuimba ndio waliwika sana, huku studio nyingi zinaoendana na kuimba ndio zlishika kasi. Mfano G-records.
Hadi 2010, bongo flava ilikuwa na rundo la wasanii, walitengeneza ngoma kwa ladha zilizo tofauti bilaa kuigana, ndio maana hadi leo muziki wao unakupa nostalgia
Baada ya 2010 muziki wa bongoflava ukaanza kuiba ladha za kisauzi, wasanii kuwa na sound na style za kufanana. Maslahi bado yakiwa madogo, huku wengine wakitoa hit moja huwaoni tena.
Ila baada ya 2015, ndipo tulipoona wasaani wakianza kuwa maisha mazuri kupitia muziki, sio tu vipaji vyao ila pia ustaa na jina lao umewalipa.
Ale kila kitu bwashee isipo kua sumu tuKwa hiyo unamshauri aache kupiga ugoro!?
Jamaa aliuliza swali la kiboya king'ombe!Mimi nawauliza swali moja tu Mnataka arena au hamtaki?
Ongelea pia...Wimbo -"Zali La Mentali-".Wa Profesa Jay...ndipo mjadala jadidifu uendeleeeeMy fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi
View attachment 3627678
Baadae nikaja kupata albamu hard blasters, akiwemo profesa jay kama hajawa solo artist, hapo ndipo nilipojua kuwa kumbe wabongo wana chana sana aisee, kuna ambayo niliipenda inaitwa "mamsap"
View attachment 3627680
Baadae sasa ndio nikaja kumjua jamaa anaitwa dully sykes, alikuja na style ya kuchana na kuimba, nq katika kanda ile kulikuwa na wimbo ambae mama yangu hakupenda niusikkie alikuwa anasema ni matusi, ule wimbo uliitwa "nyambizi"
Hapa ndipo tulipowajua daz nundaz na songi lao la kamanda ambalo hadi leo likipigwa aisee linaleta hisia
Kuanzia 2001, 2002, 2003, hii sasa ndio ilikuwa golden age ya muziki wa bongo flava, hapa ndipo tulipoona mautundu ya maprodyuza mkali aitwae majani ambaye ndio alikuja kufanya mageuzi ya sound ya bongoflava.
Huu wakati ndio tulimpata msanii wa taifa, aitwae juma nature, ni mtu amba kanda zake ziliennda kwa wingi sana, huu pia ndio ulikuwa wakati ambao professor alikuwa ni mtu albamu baada ya albamu, ngwair alikuwa wa moto sana
2000 kati kati ndipo wasanii wengi wakuimba ndio waliwika sana, huku studio nyingi zinaoendana na kuimba ndio zlishika kasi. Mfano G-records.
Hadi 2010, bongo flava ilikuwa na rundo la wasanii, walitengeneza ngoma kwa ladha zilizo tofauti bilaa kuigana, ndio maana hadi leo muziki wao unakupa nostalgia
Baada ya 2010 muziki wa bongoflava ukaanza kuiba ladha za kisauzi, wasanii kuwa na sound na style za kufanana. Maslahi bado yakiwa madogo, huku wengine wakitoa hit moja huwaoni tena.
Ila baada ya 2015, ndipo tulipoona wasaani wakianza kuwa maisha mazuri kupitia muziki, sio tu vipaji vyao ila pia ustaa na jina lao umewalipa.
My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi
View attachment 3627678
Baadae nikaja kupata albamu hard blasters, akiwemo profesa jay kama hajawa solo artist, hapo ndipo nilipojua kuwa kumbe wabongo wana chana sana aisee, kuna ambayo niliipenda inaitwa "mamsap"
View attachment 3627680
Baadae sasa ndio nikaja kumjua jamaa anaitwa dully sykes, alikuja na style ya kuchana na kuimba, nq katika kanda ile kulikuwa na wimbo ambae mama yangu hakupenda niusikkie alikuwa anasema ni matusi, ule wimbo uliitwa "nyambizi"
Hapa ndipo tulipowajua daz nundaz na songi lao la kamanda ambalo hadi leo likipigwa aisee linaleta hisia
Kuanzia 2001, 2002, 2003, hii sasa ndio ilikuwa golden age ya muziki wa bongo flava, hapa ndipo tulipoona mautundu ya maprodyuza mkali aitwae majani ambaye ndio alikuja kufanya mageuzi ya sound ya bongoflava.
Huu wakati ndio tulimpata msanii wa taifa, aitwae juma nature, ni mtu amba kanda zake ziliennda kwa wingi sana, huu pia ndio ulikuwa wakati ambao professor alikuwa ni mtu albamu baada ya albamu, ngwair alikuwa wa moto sana
2000 kati kati ndipo wasanii wengi wakuimba ndio waliwika sana, huku studio nyingi zinaoendana na kuimba ndio zlishika kasi. Mfano G-records.
Hadi 2010, bongo flava ilikuwa na rundo la wasanii, walitengeneza ngoma kwa ladha zilizo tofauti bilaa kuigana, ndio maana hadi leo muziki wao unakupa nostalgia
Baada ya 2010 muziki wa bongoflava ukaanza kuiba ladha za kisauzi, wasanii kuwa na sound na style za kufanana. Maslahi bado yakiwa madogo, huku wengine wakitoa hit moja huwaoni tena.
Ila baada ya 2015, ndipo tulipoona wasaani wakianza kuwa maisha mazuri kupitia muziki, sio tu vipaji vyao ila pia ustaa na jina lao umewalipa.
HBC J WA MITULINGA
Salute kwake..-Ndiyo Mzee na Ule wa Binti Kigori aliyeolewa Mjini.kutoka Kijijini.akabadilika-!!HBC J WA MITULINGA
Fanani? Wauhakika nawajibika kwenye fani? KILA kukicha? Dh tunaanza kuwa wazee Sasa.Albamu Funga Kazi. Hapa Fanani, kule Prof Jizee. Kuna ngoma inaitwa "Piga Makofi". Hatari tupu.
Kwanza unitAlbert Mangwair Album: a.k.a Mimi
Jay more: Ulimwengu ndio mama.
Profesa: Machizi, Jasho na Damu.