Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

Niiteni masikini ila hii "money trap"

Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?

Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!

Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Kwenye michango huwa uamumuzi binafsi…
Sio lazima uchange na wewe sio lazima uchangiwe!
 
Niiteni masikini ila hii "money trap"

Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?

Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!

Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Wewe ni ke? Huwa nafarijika sana nkikutana na thread za wanawake ambazo huwa wanaongea issues positive kama hii yako Financial Analyst

Kipekee siungi mkono swala la kuchangishana michango kwenye hizi sherehe, ni basi tuu nimeikuta kwenye jamii yangu
 
Niiteni masikini ila hii "money trap"

Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?

Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!

Tuache tamaa. Tuache mizaa.
hiyo imeshakuwa fasheni kila mtu anafanya. Vipi ile package ya vinywaji na vyakula ukimbini huoni ni nzuri? Unakula unashiba, kitakachobaki unaandoka nacho kwenda kumalizia kula nyumbani
 
Kama huna mpango wa kutaka michango ya watu usitoe kitu kausha,
Sasa dhambi hapo ni ipi gharama au kubariki ndoa
20250102_220009.jpg
 
Sema huwa wanazngua si utani, watu wameish miaka 20 lkn wanajifanya kama ndo wamekutana leo wanataka watutoe roho na hyo michango yao.

Kuna mmoja kabariki ndoa juz michango aliyopata kaenda kumalizia nyumba yake, washatuona ni viiunua mgongo vyao. Na ndyo maana wanataja kiwango kikubwa cha mchango kumbe washaset mipango
 
Back
Top Bottom