Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

Niiteni masikini ila hii "money trap"

Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?

Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!

Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Ndoa ni suala la mtu binafsi, kama hajajipanga kufunga ndoa asioe. Ni ujinga kuchangishana michango ya harusi.
 
Nilivooa rafiki zangu wachache sana walonisaidia tena ni jobless wenzangu
 
Hivi mimi naanzaje kuchangia hela ya harusi?

Utamu wa mbunye ukaufaidi wewe halafu hela nitoe mie??

Usiku wakati mnagugumizana kwa uroda sitakuwepo, kwahiyo jipangeni wenyewe.

Jichangisheni wenyewe, mfunge harusi, mkabamizane wenyewe.

Kila mtu ajipange sawa sawa.

Ukiniletea kadi ya harusi nakutandika vibao.

Cc: Nyani Ngabu Kalpana Aaliyyah binti kiziwi Extrovert Labella Monetary doctor Poor Brain Mbaga Jr chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Hatimae umepatia jina la mumeo
 
Back
Top Bottom