Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Kwenye michango huwa uamumuzi binafsiโฆNiiteni masikini ila hii "money trap"
Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?
Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!
Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Wewe ni ke? Huwa nafarijika sana nkikutana na thread za wanawake ambazo huwa wanaongea issues positive kama hii yako Financial AnalystNiiteni masikini ila hii "money trap"
Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?
Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!
Tuache tamaa. Tuache mizaa.
hiyo imeshakuwa fasheni kila mtu anafanya. Vipi ile package ya vinywaji na vyakula ukimbini huoni ni nzuri? Unakula unashiba, kitakachobaki unaandoka nacho kwenda kumalizia kula nyumbaniNiiteni masikini ila hii "money trap"
Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?
Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!
Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Awachangie wazinzi? Waende wakahalalishe tuu kwร ni miaka yote nani alikuwa anawachangia?Mzee mbona ndogo hiyo. Jipange tu utoe jambo liishe. Hela haziishi utamu
Mimi ni Me, mkuu๐๐Wewe ni ke? Huwa nafarijika sana nkikutana na thread za wanawake ambazo huwa wanaongea issues positive kama hii yako Financial Analyst
Kipekee siungi mkono swala la kuchangishana michango kwenye hizi sherehe, ni basi tuu nimeikuta kwenye jamii yangu
Hahahaj kwa kwwli mkuuMchakato wa ndoa umekaa kitapeli tapeli tu kuanzia kutongozana, uchumba, vile vimbwembwe vya engagement, posa, mahali, send-off, maandalizi, harusi, hadi ndoa yenyewe.
Mchakato wa ndoa umekaa kitapeli tapeli tu kuanzia kutongozana, uchumba, vile vimbwembwe vya engagement, posa, mahali, send-off, maandalizi, harusi, hadi ndoa yenyewe.
Yani unachangia mtu ,baada ya ndoa ananunua harrier, siku ukimuomba akikukimbizie mke wako akajifungue hospitali anakuambia changia mafuta๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎNa ndoa za saiv kuachana sekunde tu
Mchungaji kavurugwa anaona kanisa lake litakosa maokoto ya sadaka kwny siku ya ndoaKama huna mpango wa kutaka michango ya watu usitoe kitu kausha,
Sasa dhambi hapo ni ipi gharama au kubariki ndoa
View attachment 3196893
Hahaha.....ila kweli.Mchakato wa ndoa umekaa kitapeli tapeli tu kuanzia kutongozana, uchumba, vile vimbwembwe vya engagement, posa, mahali, send-off, maandalizi, harusi, hadi ndoa yenyewe.