Ebu tuwe tunaacha sifa na kukomeshana, Yani mtu unabariki tu ndoa unatuletea kadi ya mchango single 50k na double 70k

Niiteni masikini ila hii "money trap"

Hizi kweli sio njia za kutafuta pesa kimkakati..?

Mtu una life lako, umeshakuwa mtu mzima, alafu unapitishia watu michango utafikiri ndio unaenda kuanza maisha!!!

Tuache tamaa. Tuache mizaa.
Ndoa ni suala la mtu binafsi, kama hajajipanga kufunga ndoa asioe. Ni ujinga kuchangishana michango ya harusi.
 
Nilivooa rafiki zangu wachache sana walonisaidia tena ni jobless wenzangu
 
Hatimae umepatia jina la mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…