Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Na hayajui cha kufanya, kila siku yanapelekwa kwa pilato lini hizi kesi zitaisha? Tuwe kesi free countryMazezeta na mazombi yako madarakani
Kwa rushwa ndogo tu, nchi inateketea.Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini.
Tanzania sasa hivi ina kesi zaidi ya 11 katika korti mbali mbali duniani.
Na kwa mwenendo wa kesi kusimamiwa na watu ambao hawana ujuzi wala upeo wa kusimamia kesi , basi tutegemee kupigwa tu.
Economic Hit Men wako kazini.
Kimsingi ukichunguza sana, wanasiasa wamevuta na kuiahidi nchi kwa hao Hit Men.
Bandari hapo bado.
View attachment 2700466
Hizo kesi 11 unazosema, makosa yalishafanyika huko nyuma. Ukiwa na mawakili wazuri watakusaidia usiumizwe sana ilia kuumia lazima uumie.Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini.
Tanzania sasa hivi ina kesi zaidi ya 11 katika korti mbali mbali duniani.
Na kwa mwenendo wa kesi kusimamiwa na watu ambao hawana ujuzi wala upeo wa kusimamia kesi , basi tutegemee kupigwa tu.
Economic Hit Men wako kazini.
Kimsingi ukichunguza sana, wanasiasa wamevuta na kuiahidi nchi kwa hao Hit Men.
Bandari hapo bado.
View attachment 2700466
Mzee wa upako Alisha sema tusiwalaumu ma hit men kutokana na kuingia mikataba ya kijingaSasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini.
Tanzania sasa hivi ina kesi zaidi ya 11 katika korti mbali mbali duniani.
Na kwa mwenendo wa kesi kusimamiwa na watu ambao hawana ujuzi wala upeo wa kusimamia kesi , basi tutegemee kupigwa tu.
Economic Hit Men wako kazini.
Kimsingi ukichunguza sana, wanasiasa wamevuta na kuiahidi nchi kwa hao Hit Men.
Bandari hapo bado.
View attachment 2700466
Tunaongelea tunavyopigwa kisawasawa kama nchi, we unaongelea ya mchambawima!
Mbona naona kesi pending kidogo tu hapo? Na nyingine bila bila.Tunaongelea tunavyopigwa kisawasawa kama nchi, we unaongelea ya mchambawima!
Umekula mgawo wa maHit men au?Mbona naona kesi pending kidogo tu hapo? Na nyingine bila bila.
Kesi ya Mbeya imefikia wapi leo?
Mkuu kwan hao hitman ndio wanawalazimisha viongoz wetu wavunje mikataba au kukiuka mashart? Mi Nadhan tawala iliyopo ndio chanzo cha haya yote!! Lawama zote kwa kijani ✔️Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini.
Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe.
Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini.
Tanzania sasa hivi ina kesi zaidi ya 11 katika korti mbali mbali duniani.
Na kwa mwenendo wa kesi kusimamiwa na watu ambao hawana ujuzi wala upeo wa kusimamia kesi , basi tutegemee kupigwa tu.
Economic Hit Men wako kazini.
Kimsingi ukichunguza sana, wanasiasa wamevuta na kuiahidi nchi kwa hao Hit Men.
Bandari hapo bado.
View attachment 2700466
Economic Hit Man kwanza anakulegeza kwa rushwa ili uingie mkataba ambao siku unasituka , tayari umeshaingia kwenye chupa.Mkuu kwan hao hitman ndio wanawalazimisha viongoz wetu wavunje mikataba au kukiuka mashart? Mi Nadhan tawala iliyopo ndio chanzo cha haya yote!! Lawama zote kwa kijani ✔️
😪😪😪Ila always naamin mtawala wa Africa ni wa hovyo, ma nigga trump was right ✔️Economic Hit Man kwanza anakulegeza kwa rushwa ili uingie mkataba ambao siku unasituka , tayari umeshingia kwenye chupa.
Pili umeshituka na unashindwa kuwaelezea wananchi kilichotokea, ndio unaona wanasheria uchwara wanpelekwa kinyemela kutetea mkataba , halafu tunapigwa.
Mtu amepewa si ajabu rushwa ya Dola $ milioni moja, Economic Hitamana akazichukua kilaini Dola $ Milioni mia mbili.