Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

Economic Hit Man kwanza anakulegeza kwa rushwa ili uingie mkataba ambao siku unasituka , tayari umeshaingia kwenye chupa.
Pili umeshituka na unashindwa kuwaelezea wananchi kilichotokea, ndio unaona wanasheria uchwara wanapelekwa kinyemela kutetea mkataba , halafu tunapigwa.

Mtu amepewa si ajabu rushwa ya Dola $ milioni moja, Economic Hit Man akazichukua kilaini Dola $ Milioni mia mbili.

Tusipo angali kwa kweli hawa economic Hit men wataifilisisha nchi hii ! Very soon ! Kwa madeni Haya yanayo ratibiwa na Hit Men itafika mahali wadai wanashikilia sehemu ya rasilimali muhimu humu humu ndani ! TUMEUZWA !!!
 
Back
Top Bottom