Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

Hii Ngoma niliisikiga namkumbuka Rahma Toto la kimburu dah..!
Pisi Kali zaidi niliyowahi kuitomber hapa duniani..

I'm in love with shape of you
We pull and push like a magnet do
[emoji28]
Ed ni mnyama sana
 
Dahh hii thread ni fikirisha sana nawaza kusema the weekend ni mkali ila kila nikifikiria ile perfect, thinking out loud na break your heart za ed sheeran nakosa jibu kabisa[emoji854] nipo dilemma
Ed ana classic songs zaidi ya 3,
 
Huko nimetoka sio kitambo, nilienda kuangalia shamba Kipalapala....😂
Ebu njoo hapa Serengeti Bar mimekaa kaunta hapa mkuu..😋
Ngoja nimpitie karunde hapo kiyungi alafu nimptishe hapo bachu .. alafu nije hapo
 
Ongezea na za Kalubandika....😅😅😅

Huku unashushia michembe wakati unasubiri nswalu na nsansa.
Kasie
Kwa uliyo andika ya nswalu na nsansa
It mean we belong to the same Ethnic group 🤓🤓🤓

Maana mzaramo hawez jua nswalu na nsansa na ntwilii...
Na miaka kama 10 na ushee sijawai kula....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…