Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 714
- 1,253
The weekend labda kama umeanza kusikiliza Leo yupo kwenye PICK na ๐ฎ kitambo....
Ni mkali hata,
BET Award for Best Male R&B/Pop Artist
Currently held by: The Weeknd (2022)
๐ค
Wanasemaga Ed ni better musician na the weekend better artist.. Ed is Genius, he can sing Rap hata singeli anaweza imba ๐คฃ๐คฃโฆ. Ameinvest more into his music and yet he is sooo HUMBLE.Hiivi wajomba mnalichukulia KOO la ED sheeran la kawaida sana eeh?
ED SHEERAN anaimba yule mzungu bwana,muziki ni TALENT na yule mwamba Mungu kampa bwana!
Inafikirisha sana, mpka unajiuliza huyu anasikiliza mziki kweli au anaenda na upepo tu. The weeknd mpka sasa ndo anaongoza spotify kama msanii anayesikilizwa zaidi kwa mwezi, ana wasikilizaji zaidi ya 100M.Hawajui kitu hawa watakua wameanza kufwatilia mziki wa mbele juzi The weekend is the best of all time Tena wakikaa vibaya na ya mwaka huu anachukua
Hiyo blinding lights ilikaa sana kwenye chart, ilitoka ikarudi tena. Kifupi jamaa yuko vyema, kuhusu Grammy hana tofauti na Katy Perry, inategemeana sana na huo mwaka aliofanya vizuri aliingia kwenye category na nani. Mtu ukiambiwa Katy hana Grammy unabaki unashangaa.The Weeknd ni bora zaidi, nyimbo zake bora kama starboy,i feel it coming na call out my name pia katika album yake ya after hours kafany vizur sana na nilishangaa why hakupata Grammys hata 1 kwa nyimbo zake kama Blinding lights,save your tears,in your eyes,heartless,until I Bleed out e.t.c
The weeknd mziki anaoufanya ni mziki flani hv wa pop uliokuwa unafanywa miak ya nyuma huko 1980 had 90,mziki wa kina Michael Jackson ana mix na mziki wa sasa .Kwangu mimi The Weeknd anafanya mziki wa dunia yake mwenyew. he is the best
Waelekeze hao watu huwa wanaenda na upepo ๐wanasikiliza tu heat song alaf wanasema msanii ni best Yan wanakosea sana kumfananish weekend na yule EdInafikirisha sana, mpka unajiuliza huyu anasikiliza mziki kweli au anaenda na upepo tu. The weeknd mpka sasa ndo anaongoza spotify kama msanii anayesikilizwa zaidi kwa mwezi, ana wasikilizaji zaidi ya 100M.
Hao ni wasikiliza taarabu na singeliEti mtu anauliza The Weeknd ni nani? Serious??[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
NakaziaHao ni wasikiliza taarabu na singeli
Umenena vizuriHiyo blinding lights ilikaa sana kwenye chart, ilitoka ikarudi tena. Kifupi jamaa yuko vyema, kuhusu Grammy hana tofauti na Katy Perry, inategemeana sana na huo mwaka aliofanya vizuri aliingia kwenye category na nani. Mtu ukiambiwa Katy hana Grammy unabaki unashangaa.
Kingine wamarekani wakimpenda mtu wanapata kama wazimu,ndo maana unakuta mtu kama Taylor Swift ana Grammy za kutosha, majuzi Olivia Rodrigo naye kapewa za kutosha.
Tafuta pini linaitw less than zero. utakuja kunishukuru.Jamaa Anaitwa The Weeknd,
Very Talented Singer from Toronto.
Nakubal ngoma yake "call out my name" ni wayaaa
Statistics zako based on 2023โฆ Ed has been there, done that na sio mwezi moja.. Subtract Album inakuja.Inafikirisha sana, mpka unajiuliza huyu anasikiliza mziki kweli au anaenda na upepo tu. The weeknd mpka sasa ndo anaongoza spotify kama msanii anayesikilizwa zaidi kwa mwezi, ana wasikilizaji zaidi ya 100M.
Kumbe huyu ndo kaimba hili dude??
hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....
Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...๐ ๐ ๐
Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...๐.
Kwatuuu....๐.
Madogoli??
hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....
Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...[emoji28][emoji28][emoji28]
Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...[emoji7].
Kwatuuu....[emoji4].