Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Hivi hawa wachambuzi wa bongo walisomea wapi huu uchambuzi

Unawezaje kumjaji mchezaji mechi mbili au tatu na ukaja na final report juu ya uchezaji wake ilihali katka ligi kuna mechi Zaid ya 28

Vituo vya redio viwatathmin wachambuzi wao

Wengne wameanza nongwa eti kocha wa Simba aondoke mtu ambaye amekuta kikosi tayar kishasajiliwa hajakaa nao kuwajua

UCHAMBUZI WA BONGO N WA MCHONGO

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Subiri nongwa kutoka utopoloni japo we mwenyewe umemnukuu edgar kibwana


Ndio nakubali hata mm Fiston Mayele na Yanga yake wanapenda misifa mingi wakati ligi ndo kwanza inaanza, ngoja tuone nani atakua mkali wa kufumania nyavu kati yake na MK 14

HANA UWEZO HUO KABISA MAYELE! SOON KAZI YKE INAISHA..

Yanga hawatengenezi chances nyingi za kufunga kama Simba.

Lakini pia Fiston ni mchezaji daraja la chini kuliko Kagere namfananisha na Michael Sarpong tu.
Haya mukuye tuteteme wote na sebene ya Fiston Mayeleeeeeeeeeeeee.🔥🔥
 

Attachments

  • 1648038552656.mp4
    1 MB
Ila wewe jamàa una taabu
 
Wanatamani kufuta uzi ila ndio haiwezekani halafu wengune wanaheshimika sana humu JF ila Fiston anawaumbua
Ufute uzi kisa nini?
Kwa sasa Mbape anaperform kuliko Ronaldo je Mbape ni Bora kuliko ronaldo?
Mbape hana vya kujifunza kwa Ronaldo?
Kagere ashafanya yote hana cha kujifunza kwa yoyote kwenye mpira huu.....
 
W
Ufute uzi kisa nini?
Kwa sasa Mbape anaperform kuliko Ronaldo je Mbape ni Bora kuliko ronaldo?
Mbape hana vya kujifunza kwa Ronaldo?
Kagere ashafanya yote hana cha kujifunza kwa yoyote kwenye mpira huu.....
wape shule bila ada
 
Tipwa tipwa tetemaaaa[emoji445][emoji445]
Ooh mama tetemaaa[emoji444]
Twende wote tetemaaaa[emoji444][emoji445][emoji91][emoji91]

Tuimbe wote wote woteee[emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…