Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere!

Edgar Kibwana aliendelea kufafanua zaidi, " Mayele ambaye ameanza mechi nne na kucheza dakika nyingi mpaka sasa ana magoli mawili sawa na Kagere ambaye yeye huanzia benchi na kucheza dakika chache nae ana magoli mawili"

" Mayele amezungukwa na wachezaji bora wengi lakini bado anasuasua katika ufungaji wa magoli tofauti na Kagere ambaye timu yake kwasasa haichezi vizuri" Edgar Kibwana aliongeza zaidi.

Kwahyo Edgar Kibwana akahitimisha kwa kusema, ni wakati sasa wa Fiston Mayele kujifunza zaidi kwa mkongwe Kagere kwenye ufumaniaji wa magoli ili awe bora zaidi!!

NB:
Namuunga mkono Edgar kwani Fiston anacheza soft soft sana anahitaji kupambana zaidi
Mimi simuungi mkono kabisa.
Mbona hakuangalia uzoefu wa kila mmoja kwenye ligi yetu?

Kagere ana zaidi ya miaka2 ana magoli2

Mayele ana so zaidi ya 3 ana magoli2
Yupi bora.
Edgar aache unafiki na uzandiki
Akili za kuambiwa changanya na chako,WACHAMBUZI UCHWARA

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
kwanza hicho kijamaa si ni meneja wa lile zee bocco sasa ataongea nini cha maana ?
pia metacha mchezaji wake tulifukuza amekosa hela
upumbavu mkubwa kuwahi kutokea ..

hao clouds wanaajiri hizo takataka sababu hawana uwezo wa kuchukua wachambuzi wakubwa na pro..
mayele kwanza kumuweka na hilo zee kagere ni dhambi
 
Wenzetu waliondelea huwa wanaangalia Data analytics kuona output ya mchezaji, StatBombs, xG philosophy, Spieverlagerung
Huku kwetu tunaongea maneno ilimradi mtu amejisikia kuongea.
Edgar alisisimkwa na bao la Kagere.

Hakutumia stats za kiufundi kudetermine ubora wa mchezaji.
 
Kila mtu ashinde mechi zake,Edgar amepata tu platform ya pale mawinguni ila ni empty kabisa na kaka yake Dauda
 
Mimi simuungi mkono kabisa.
Mbona hakuangalia uzoefu wa kila mmoja kwenye ligi yetu?

Kagere ana zaidi ya miaka2 ana magoli2

Mayele ana so zaidi ya 3 ana magoli2
Yupi bora.
Edgar aache unafiki na uzandiki
Akili za kuambiwa changanya na chako,WACHAMBUZI UCHWARA

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Eti uzoefu. Ama ndo mnajianda mkikosa ubingwa muanze kusema kikosi hakikuwa na uzoefu.

Mpira ni ule ule mzee, ndiyo maana kuna pre season.

Pambaneni tu. Na huyo mayele apambane na mwamba MK14.
 
Hakuna cha kujifunza hapo Magoli ya Kagere mara nyingi ya kuvizia tu wala hayana msisimko wowote.
Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere!

Edgar Kibwana aliendelea kufafanua zaidi, " Mayele ambaye ameanza mechi nne na kucheza dakika nyingi mpaka sasa ana magoli mawili sawa na Kagere ambaye yeye huanzia benchi na kucheza dakika chache nae ana magoli mawili"

" Mayele amezungukwa na wachezaji bora wengi lakini bado anasuasua katika ufungaji wa magoli tofauti na Kagere ambaye timu yake kwasasa haichezi vizuri" Edgar Kibwana aliongeza zaidi.

Kwahyo Edgar Kibwana akahitimisha kwa kusema, ni wakati sasa wa Fiston Mayele kujifunza zaidi kwa mkongwe Kagere kwenye ufumaniaji wa magoli ili awe bora zaidi!!

NB:
Namuunga mkono Edgar kwani Fiston anacheza soft soft sana anahitaji kupambana zaidi
 
kwanza hicho kijamaa si ni meneja wa lile zee bocco sasa ataongea nini cha maana ?
pia metacha mchezaji wake tulifukuza amekosa hela
upumbavu mkubwa kuwahi kutokea ..

hao clouds wanaajiri hizo takataka sababu hawana uwezo wa kuchukua wachambuzi wakubwa na pro..
mayele kwanza kumuweka na hilo zee kagere ni dhambi
Wachambuzi gani wakubwa na mapro ukiacha hawa walioko Clouds,Wasafi na Efm??..

Halafu Edger sio meneja/wakala wa Metacha
 
Whatever Edgar ni wakala wa wachezaji wengi bocco nae vipi?

Hakuna kitu humo acha kumtetea huwa clouds unaipenda sana
 
Point of correction.

Wakala wa Metacha ni bwana mchaMBUZI Jemedari Said Kazumari.
 
Whatever Edgar ni wakala wa wachezaji wengi bocco nae vipi?

Hakuna kitu humo acha kumtetea huwa clouds unaipenda sana
Taja wachambuzi mapro ambao ni wagharama sana ambao hawapo kwenye hizo media tatu nilizozitaja acha janjajanja..
 
Makolo mnachekesha sana[emoji23]
Lkn si mnajua Simba 3-Fei toto 3
juu nao ni utoto na uwezo mdogo wa kufikiri.

Hakuna timu inaitwa Feitoto yenye magol 3 na simba 3.

Shule mnaenda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom