Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

Wewe siyo wa kuongea maneno ya kiwango cha chini kama haya labda kama umeandika ukiwa baa.
Jaribu kuangalia stats za michezo yote utaona utofauti uliopo kwenye chances creation kati ya Simba na Yanga.

Kagere huenda akawa na zaidi ya one hundred career goals wakati Fiston Mayele ni siyo rahisi hata kufikia nusu ya magoli ya Kagere.

Kingine Kagere conversion rate yake ni kubwa kuliko striker yoyote kwenye ligi kuu yetu.
 
Wewe ni miongoni mwa mashabiki ninaowaheshimu hapa JF. Wengi wanaongea kishabiki kama ulivhofanya Leo ndo maana nikakulaumu. Huwwzi kumfananiaha Mayele na Sarpong hata kama umetoka usingizini. Ni kweli Conversion rate ya Kagere ni Bora japo umri unamtupa na kuwekwa benchi kunachangia kumpotezea confidence. Lakini Mayele siwezi kumunderrate kiasi hicho, angalia anavyopokea mpira, control, turning, dribbling na shooting yake halafu mfananishe na Sarpong!! Kwangu Mechi ya Ruvu imeniongezea Imani kwake na ninabaki kumkosoa katika udhaifu wake wa conversion rate.
 
Yeah it's true kwamba anajitahidi lakini kumbuka mechi nne za kwanza za Ligi Sarpong alikuwa na goli sawa na alizonazo Mayele.

Tofauti yao kubwa ni kwamba Mayele ni mobile zaidi kuliko Sarpong lakini kwenye conversion rate tumpe muda zaidi kumpima.
 
Duhh....kweli mayele ni kama sarpong??[emoji1][emoji1]
 
Wachambuzi wengine hata akili ya kufikiria hawana, Yanga haimtegemei mchezaji mmoja mmoja kwenye kufunga. Na ndio maana unaona Mayele ana magoli mawili, feisali magoli matatu na Moloko ana magoli mawili. Simba saivi wwnalia lia na ma mastraika na ndio maana mpaka sasa hawaelewi ni nani anaweza kuwa msaada kwa timu maana wote ni maji kupwa maji kujaa. Siku akianza Kager kwenye kikosi cha kwanza basi atawakera mashabiki mpaka wamkumbuke Mugalu. Siku akianzishwa Mugalu atawakera mpaka wamuwaze tena Kagere.
 
Boss unazungumzia msimu huu au uliopita??[emoji15][emoji15]
Yes this season.

Kinachokushangaza wewe ni kwamba Yanga wanatumia vizuri hizo nafasi kuliko Simba.

Hebu jaribu kuangalia nafasi walizotengeneza Simba dhidi ya Namungo na zile alizotengeneza Yanga dhidi ya Ruvu Shooting.?
 
Mtu akileta hoja ya kitaalamu na wewe ukachangia ushabiki utaonekana mbangaizajk Tu.
Mleta mada ana hoja nzuri lakini kusema Mayele anacheza soft sijui kwako ulifumdishwa nini maana ya Soft. Mayele mshambuliaji mgumu ambaye tatizo lake ni moja tu, converting rate yake iko chini na hachukui jitihada kuiinua.

Mkuu umechangia thread kishamba sana,punguza nongwa kama kushangilia ata akina Ronaldo et all wanashangiliaga kwa nguvu sana as if wamebahatisha la hasha ni uwezo wao binafsi jana Mr Kagere lile goli nilimkubali sana mimi kama mpenda mpira wa miguu na sio shabiki wa mpira Kagere alionyesha ukomavu na uwezo binafsi katika soka as a pro,relax na penda mpira achana na ushabiki itakushushia heshima hapo ulipo its my hope mashabiki wenzie wasiopenda mpra watakusapoti..kila la heri hapo ulipo.
Naona mmeniundia bunge
 
Wachambuzi wengine hata akili ya kufikiria hawana, Yanga haimtegemei mchezaji mmoja mmoja kwenye kufunga. Na ndio maana unaona Mayele ana magoli mawili, feisali magoli mawili na Moloko ana magoli mawili. Simba saivi wwnalia lia na ma mastraika na ndio maana mpaka sasa hawaelewi ni nani anaweza kuwa msaada kwa timu maana wote ni maji kupwa maji kujaa. Siku akianza Kager kwenye kikosi cha kwanza basi atawakera mashabiki mpaka wamkumbuke Mugalu. Siku akianzishwa Mugalu atawakera mpaka wamuwaze tena Kagere.
Nimeufwatilia huu uzi ila comment yako imenifurahishaa sanaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Amen
Ayo ni mawazo ya mchambuzi, Kama anamuona Kagere ni Bora kuliko Mayele huwezi kumpinga. Mwisho wa msimu kila kitu kitakua hadharani. Huitaji misuli ya shingo ikutoke kumtetea mchezaji, Kazi yake itaongea.
 
Back
Top Bottom