Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Jaribu kuangalia stats za michezo yote utaona utofauti uliopo kwenye chances creation kati ya Simba na Yanga.Wewe siyo wa kuongea maneno ya kiwango cha chini kama haya labda kama umeandika ukiwa baa.
Kagere huenda akawa na zaidi ya one hundred career goals wakati Fiston Mayele ni siyo rahisi hata kufikia nusu ya magoli ya Kagere.
Kingine Kagere conversion rate yake ni kubwa kuliko striker yoyote kwenye ligi kuu yetu.