Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #121
Thomaso bhana !Tuwekeeni VIDEO ya hayo Maneno ya Dk. Edmund Mndolwa anayosema hayo, mimi namfahamu Dk Mndolwa ni kiongozi mwenye weledi msomi aliyebobea siamini kama anaweza kuzungumza maneno hayo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2293333
Hawamsemi aliyekufa bali wale waliomfanya vile alivyokuwa ili ujumbe ufike kuwa hawakufanya vyema na ikiwezakana wabadilike.
Dr Edmund sio mjinga
Hizo kazi za marehemu alitoa pesa yake mfukoni au ?; Pumbaf,Tunataka kazi za marehemu zikamilike zote na wao waanze zingine nzio kulambishana Asali.
"Uchokozi huu, mwanadamu siku zake si nyingi nazo zimejaa kiburi"Kwa hiyo ana makovi ya matundu ya mosumari?.
Ni kweli mwanamme mmoja alotunyamazisha kiasi hicho?
"Usitende kama utaishi milele"wengi mkuu wanaishi jana na kujipendekeza wanaamini wakiuzima mshumaa wa mwingine wakwao utawaka vizuri. tumetumia pesa nyingi sana kuwasomesha wajinga lakini ujinga haukuondoka!
Hana upuuuzi wa MBOWE kuhongwa pipi za ikuluHawa wanaolalamika ni viongozi wa juu wa ccm , Siku Mzee Mangula akipata ujasiri wa kuongea nchi itatikisika
Kama angekuwa hafurahii kuitwa mungu na akina Kangi Lugora, Prof Kabudi na Sheikh Alhad wa BAKWATA Dar na Agrrey Mwanri, basi angekemea. Kitendo cha akukaa kimya wakati wateule wanakufananisha na mungu maana yake ni kuafiki kuwa wewe ni mungu.Tupia clip wakati akifurahia kuitwa mungu. Twendeni na ushahidi Ili tuoneshe kweli Sisi ni great thinkers. Vinginevyo ni ujinga kuendelea kuandika vitu visivyo na uhakika
Mtoto mdogo mpumbavu usiyetaka kusoma historia. Unafikiri miundombinu haikuwepo kabla ya Magufuli! Nyie kina JF Member ndiyo mnafanya Taifa lionekane Lina vijana wajingaYule Yuko wapi?
Unamkumbuka tu acha uongo.
Kila ukipita kwenye miundombinu alohakikisha inakamilika unafurahi mwenyewe.Pm
Historia ipi unayo ijua?Mtoto mdogo mpumbavu usiyetaka kusoma historia. Unafikiri miundombinu haikuwepo kabla ya Magufuli! Nyie kina JF Member ndiyo mnafanya Taifa lionekane Lina vijana wajinga
Endelea kujitoa ufahamu, nipo kuwachora, kumbuka hata kwenye msafara wa mamba kenge wamo na kinyume chake… Rastaman wa kwanza duniani asiyekuwa na Wisdom.Sasa wewe kwenye hili jukwaa unafanya nini mchumia tumbo mwenzao
Kwa kweli kabisaJamaa wamechachamaa. Tukisema sisi wa Chauma twaambiwa ni nongwa.
Mbina wewe pia hapa hutoi vision wala siasa za maendeleo badala yake unamsema vibaya Edmund Mndolwa?Hawa watu hawana kabisa hoja za maendeleo?
Kwamba kumsema alie kufa ndo kutapunguza ugumu wa maisha ya waTZ?
Tutegemee kuona Samia akitukanwa baada ya utawala wake.
Wanasiasa wa namna ya Mndolwa hawafai hata kiti cha ujumbe wa nyumba kumi maana hawana vision ya kuangalia mbele badala yake wanafanya mambo yasiyo na tija.
MIUNDO MBINU MINGI ILIJENGWA NA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE (MABARABARA) wakati huo akiita barabara ndio artery za nchi, Sijui mnakumbuka hili.Historia ipi unayo ijua?
Miundo mbinu ilikuwa finyuu .. mfano Arusha, Mwanza-Airport. Ubungo hadi kibaha masaa Sita kwenye foleni. Dar city - Airport ilikuwa masaa manne.
Endelea kuenjoy huku ukikejeli mafanikio makubwa hayo. Subiri Sasa hii awamu kama Ina lolote la maana zaidi ya kula kwa urefu wa kamba.
Kwenye huo ujinga na wewe ukiwamo.?Ni ujinga wa watanzania karibu wote, mtu mmoja anafanya anavyotaka yaani tuna umia nchi nzima sababu ya mtu mmoja! hovyo sn
🤣🤣🤣Mbina wewe pia hapa hutoi vision wala suasa za maendeleo badala yake unamsema vibaya Edmund Mndolwa?
Mndolwa alikuwa akitoa dukuduku lake kama ufanyavyo wewe hapa.
Yule baba alikuwa shetani halisi
🤣🤣🤣tukaneni sasa wenyewe kwa wenyewe.Usipomtukana bwana Yule wewe sio mwenzetu.