Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hivi takukuru bado hamjaenda tuWalimfukuza ili asisanue ukweli kuhusu huko kuuzwa kwa hiyo mechi,kwani akiwa nje hata akisema wasioelewa watamchukulia kama anaropoka tu kwa kuwa ameshatimuliwa
Hersi alisema target yake ni kufika group stages.....Hata bosi wenu alisema hivyo hivyo ila hajapata hata hilo 'kombe la 10 bora' [emoji12] [emoji12]
Bila shaka umejua sasa kati ya Mudi na huyo bosi wenu nani ni mjanja [emoji16][emoji16]
Kelele zile za tunashinda Ila hatunafuraha ndio ilipelekea kuondoshwa kocha huyo Edo anafahamika gongowaziEDO: SIMBA KUMFUKUZA KOCHA NI KUWEWESEKA NA KIPIGO.
"Majuzi Simba wamefungwa bao tano na watani zao,nimekumbuka mengi.Nadhani lilikuwa ni hitimisho la anguko lao dhidi ya watani wao.Kipimo cha maendeleo ya Simba sio Yanga,lakini unahitaji kuangalia kwa umakini mwenendo wa mtani wako kwaajili ya kujijenga kesho yako iliyo salama zaidi"
"Simba waliidharau Yanga wakati inajijenga.Simba walilewa na utawala wao wa miaka ya hivi karibuni..Simba walimdharau Hersi,wakaidharau na Yanga wakati ikiendelea kujitafuta"
"Simba walibeza hata Yanga kufika Fainali za Kombe la Shirikisho barani Afrika.Ule mda wa madaraka ni mtamu.Simba walikuwa katika madaraka ya soka la nchi hii kwa miaka minne mfululizo halafu na wakasahau kuidharau Yanga"
"Leo Simba wamefungwa mabao matano na Yanga na anasakwa mchawi. Mtu wa kwanza kutolewa kafara ni Kocha Robertinho.Ameondoka.Ameshakwenda kwao"
"Inadaiwa kwamba kuna wachezaji wanashutumiwa kuwa waliihujumu mechi,Kama unaamini kuna wachezaji wamehujumu mechi kwanini umfukuze Kocha? Hapo hapo Mwenyekiti wa Simba,Murtaza Mangungu naye anatuhumiwa kuhusika na kipigo.Swali kipigo kilitokana na Robertinho, wachezaji au Mangungu? Nadhani huku kote ni kuweweseka tu"
EDO KUMWEMBE via MWANASPOTI.
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2813593
Sikumuona rais wenu kwa jukwaa pale south jpili, au hakualikwa? Na kwa nini asiarikwe ilihali mna medal tena ya hao hao walio weka hilo jukwaa kugawa tuzo kwa ma champion wanaowatambua ?Now tuna CAF medal....
Na kunywa supu ya vibudu yenye kimetaWachambuzi kazi yetu ni kuusemea mpira,
Ngoma tayari ipo mzigoniHivi takukuru bado hamjaenda tu
Sio Kila mwalikwa ....anagawa tuzo .. engineer alikuwa ziara nyingi pale .....Mr koloSikumuona rais wenu kwa jukwaa pale south jpili, au hakualikwa? Na kwa nini asiarikwe ilihali mna medal tena ya hao hao walio weka hilo jukwaa kugawa tuzo kwa ma champion wanaowatambua ?
Unachekesha sana babu [emoji23][emoji23]
Kumbe aliikimbia supu πππSio Kila mwalikwa ....anagawa tuzo .. engineer alikuwa ziara nyingi pale .....Mr kolo
Bado hujasemaaaaaaaNa kunywa supu ya vibudu yenye kimeta
Nimeuliza tu mkuu nimsikie jibu lake.Kijana anatukana management ya kolo[emoji23]