EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

Hata bosi wenu alisema hivyo hivyo ila hajapata hata hilo 'kombe la 10 bora' [emoji12] [emoji12]

Bila shaka umejua sasa kati ya Mudi na huyo bosi wenu nani ni mjanja [emoji16][emoji16]
Hersi alisema target yake ni kufika group stages.....


Ila Cha ajabu akafika final

Now tuna CAF medal....na sio zile za Abiola ndondo cup [emoji23][emoji23]
 
EDO: SIMBA KUMFUKUZA KOCHA NI KUWEWESEKA NA KIPIGO.

"Majuzi Simba wamefungwa bao tano na watani zao,nimekumbuka mengi.Nadhani lilikuwa ni hitimisho la anguko lao dhidi ya watani wao.Kipimo cha maendeleo ya Simba sio Yanga,lakini unahitaji kuangalia kwa umakini mwenendo wa mtani wako kwaajili ya kujijenga kesho yako iliyo salama zaidi"

"Simba waliidharau Yanga wakati inajijenga.Simba walilewa na utawala wao wa miaka ya hivi karibuni..Simba walimdharau Hersi,wakaidharau na Yanga wakati ikiendelea kujitafuta"

"Simba walibeza hata Yanga kufika Fainali za Kombe la Shirikisho barani Afrika.Ule mda wa madaraka ni mtamu.Simba walikuwa katika madaraka ya soka la nchi hii kwa miaka minne mfululizo halafu na wakasahau kuidharau Yanga"

"Leo Simba wamefungwa mabao matano na Yanga na anasakwa mchawi. Mtu wa kwanza kutolewa kafara ni Kocha Robertinho.Ameondoka.Ameshakwenda kwao"

"Inadaiwa kwamba kuna wachezaji wanashutumiwa kuwa waliihujumu mechi,Kama unaamini kuna wachezaji wamehujumu mechi kwanini umfukuze Kocha? Hapo hapo Mwenyekiti wa Simba,Murtaza Mangungu naye anatuhumiwa kuhusika na kipigo.Swali kipigo kilitokana na Robertinho, wachezaji au Mangungu? Nadhani huku kote ni kuweweseka tu"

EDO KUMWEMBE via MWANASPOTI.

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2813593
Kelele zile za tunashinda Ila hatunafuraha ndio ilipelekea kuondoshwa kocha huyo Edo anafahamika gongowazi
 
Now tuna CAF medal....
Sikumuona rais wenu kwa jukwaa pale south jpili, au hakualikwa? Na kwa nini asiarikwe ilihali mna medal tena ya hao hao walio weka hilo jukwaa kugawa tuzo kwa ma champion wanaowatambua ?

Unachekesha sana babu 😂😂
 
Bora Rage aliwawahi mapema kwa kuwaita mbumbumbu baada ya kuona wanataka kumpanda kichwani, kama wanavyo mfanyia Mangungu.

Timu inaendeshwa kijanja janja na kihuni! Halafu lawama wanatupiwa wengine.
 
Sikumuona rais wenu kwa jukwaa pale south jpili, au hakualikwa? Na kwa nini asiarikwe ilihali mna medal tena ya hao hao walio weka hilo jukwaa kugawa tuzo kwa ma champion wanaowatambua ?

Unachekesha sana babu [emoji23][emoji23]
Sio Kila mwalikwa ....anagawa tuzo .. engineer alikuwa ziara nyingi pale .....Mr kolo
 
Kitendo cha manula kuanza kwenye mechi ile inaleta ukakasi sana mchezaji kutoka kwenye majeraha na kuanza moja kwa moja kwenye derby sidhani kama kocha wa makipa na robertinyo ndio walimchagua.
 
Kitendo cha manula kuanza kwenye mechi ile inaleta ukakasi sana mchezaji kutoka kwenye majeraha na kuanza moja kwa moja kwenye derby sidhani kama kocha wa makipa na robertinyo ndio walimchagua.
Labda walijua at save kidg
 
Kumbe aliikimbia supu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaah mkuu aliomba abakiziwe ....ila makolo wailiivamia

1699781379618.jpg
 
Back
Top Bottom