Edo Kumwembe/Adriano Gulliati kumhusu Mfalme wa Soka duniani

Uko sahihi broh...
Tatizo binadamu ana ile hali ya kutaka kile anachokiamini kuwa ukweli kuliko wanachokiamini wengine..!
 
Mkuu unafahamu kama yeye kama mtaliano na mshabiki wa Ac milan ana maadui hawa wawili.

1. Timu ya Taifa Brazil ambayo ilikuwa ikizionea Timu za ulaya including Italy

2. Napoli,Timu ndogo iliokuja kuchukua ubingwa wa Italy na kuwabwaga ma giant kama Ac milan.

Pelle anatoka Brazill na Maradona ni wa Napoli,

Maelezo ya huyo mtu sidhani kama yana credibility hapa.

Ni kama umuulize Dalgish kama ronaldo ama Cantona alikuwa mchezaji mzuri.

Maradona kati ya 84 mpaka 91 alikuwa anachezea Napoli na katika prime yake miaka 4 makombe ya ligi italy 2 na nafasi ya 2 mara 2.

Timu ndogo kama Napoli kwa Effect ya mchezaji mmoja iliwachachafya sana vigogo wa Italy.



Huu ni.msimamo wa ligi Nafasi ya Napoli 1983 kabla ya maradona kutua


Sasa fikiria mchezaji mkubwa Duniani club kubwa zinamtaka anaondoka club kama barcelona na kwenda club inayokaribia kushuka daraja ya Napoli,then anawapa ubingwa tena mara mbili, na wakikosa ubingwa wanakuwa wa pili, hizi ndio sifa za wachezaji wazuri wa zamani.

Leo hii mtu kama Messi,ronaldo neymar etc hawaendi timu ndogo hata kwa ndumba, na siku zote watachagua wachezaji wazuri wawazunguke, siku messi akienda Argentina anakuwa wa kawaida sababu kule hawawezi kusajili. Maradona na hio hio average argentina aliipa Kombe.
 
Bado tunaendelea kusubiri goli lake la mwanzo ndani ya hatua ya mtuano ya world cup. World cup 4 lakini 0 goals kwenye hatua za mtoano.
 
Ile siku UCL Messi anatupiga Arsenal goli 4 ndio siku niliyoamua rasmi kuungana na Arsene Wenger kukubali jamaa anaujua mpira!..
 
Mabishano hayo yawe chachu kwa wachezaji wetu akina Kelvin Paul weweze kuweka historia duniani
 
Wewe huna mawazo huru hadi uishi nakuamini mawazo yamtu mwingine mwenye kichwa kama wewe.punguza kutojiamini.Kila mtu ana mtazamo wake kwajinsi anavyoona mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…