Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
Eddo yuko sawa sawa ! Simba ni brand ndogo! Nakumbuka Mohamed alivyotekwa mashabiki wa Simba nusura wafariki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eddo hana Jipya, hii ni Janja yake aweze kupata Viewers wengi kwenye akaunti yake huko Twitter, anaujua mziki wa Wanamsimbazi kwenye mitandao.
Hata Edo anazungumzia sasa, hajasema milele...Mbumbumbu FC mnakwama wapi kuelewa vitu vya standard four?Diamond atapita tu kwani simba imeanza jana Simba sport club is continuously generation to generation
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata juzi juzi hapa walipvyopigwa muwa na Mtibwa kule Zenji kwenye kombe la Maulid, Mwamedi si alisusa....weeeee, walikuwa wadogo piriton ina nafuu.Eddo yuko sawa sawa ! Simba ni brand ndogo! Nakumbuka Mohamed alivyotekwa mashabiki wa Simba nusura wafariki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ManCity na Chelsea zinamilikiwa na watu, so its not even an issueHata Arsenal na Madrid zina mashabiki, hapa nazungumzia umiliki. Mwamedi ndio mwenye timu
Kwani Eddo analipwa na nani, si mtu auTunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa
Yuko sahihi!
na utopolo sio yenu ni ya GSM...PIERRE LIQUID ni brand kubwa kuliko vyura wa matopeni a.k.a kwasukwasu fcMsiwe na jazba, kwanza kilabu ni Mwamedi sio yenu na kiukweli, Platnumz ni brand kubwa kuliko 5imba Koko.
kwani utopolo wanalipwa mishahara na nani???mbona juzi GSM katishia kuwasusa mkaanza wewesekaTunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa
Na pierre liquid ni brand kubwa kuliko utopolo fc...kweli si kweli???edo yuko sahihi.
[emoji13] [emoji13] wakampigia magoti arudiHata juzi juzi hapa walipvyopigwa muwa na Mtibwa kule Zenji kwenye kombe la Maulid, Mwamedi si alisusa....weeeee, walikuwa wadogo piriton ina nafuu.
Kwahivyo GSM kulipa mishahara pale Utopoloni na kusajili wachezaji na kumlipa kocha kisha akasitisha halafu baadaye mkaenda kulia lia naye tusemeje?Tunazungumzia BRAND sio udhaminiwa. 5imba inalipiwa mishahara na Mwamedi, mkimuudhi anapost kususa instagram, Platnumz ni brand kubwa
Kwahivyo GSM kulipa mishahara pale Utopoloni na kusajili wachezaji na kumlipa kocha kisha akasitisha halafu baadaye mkaenda kulia lia naye tusemeje?
Acha kuandika ujinga basi..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utopolo ni kama wanajitekenya halafu wanajichekesha mo alipotingisha kiberiti alichuniwa akajirudi mwenyewe Ila GSM alipotingisha kiberiti tuliona uongozi wa matawi ukaitisha mkutano haraka wa kumwangukia viongozi wakafukuzwa wengine wakajiuzulu lakini hilo hawasemi wamekaa kufatilia mambo ya simbaHawa utopolo ni wapumbavu,sisi Mo alipost instagram hakuna hata aliyemlilia au kuhangaika naye aliachwa tu,mwenyewe akaomba msamaha siyo mashabiki na club wamlambe miguu kama utopolo walivyofanya kwa gsm
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧