Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano.

Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
 
Mwambie hivi yeye sie MUNGU,
Hata DAUD alimuua GOLIATH....

Hata yehu mkimbiza farasi aliambiwa na watu "WAMEONA MAJITU" yehu hakuogopa...
Hofu ni ugonjwa mbaya sanaa..
Dakika 90 Zita amua nani ana qualify....

SIMBA GUVU MOYA 🦁🦁
 
Ukweli siku zote ni mchungu
Tuna timu nzuri lkn ni ya kuishia robo fainali
Kule Stade Mohammed V [emoji881] kuna goli kuanzia
 
Back
Top Bottom