Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Simba anaweza kumtoa wydad kama mpira ukichezwa bila mizengwe.

RIVERS UTD ILIKUWA INAMTOA WAYDAD MSIMU HUU KWENYE PLAY OFFS STAGE .

kadi nyekundu ya mizengwe waliyopewa rivers kule morocco ndiyo iliyombeba wydad ndipo akàanza kupata magoli maana dakika nyingi rivers alicheza akiwa pungufu.

Bila kadi nyekundu ile wydad alikuwa anaaaga mashindano. Maana mechi ya kwanza wydad alifungwa kule Nigeria
 
MVUA ikianza asubuhi mnyama atapigwa mbili tu, isiponyesha atakula 5! Mi nimekaa pale!!
 
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano.

Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
Mchaaaambuzi
20230419_193614.jpg
 
Watu wanajipa moyo 💓 sana ili labda wasipate stroke lakini ukweli unabaki palepale kwamba japo hatujui matokeo yatakuwaje lakini Simba hawezi katu kuvuka hatua ya robo fainali, yeye safari ndio imefika mwisho. Adios.
 
Jina lako tu linatosha.Imeloa baada ya kukandwa au------?
 
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano.

Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi

Ana uhakika amekuwa Mungu. Simba ikikupiga tatu unatoka. Simba imekuwa inatolewa kwenye robo fainali kutokana na kufunga magoli machache nyumbani, kuanzia Kaizer chiefs na Orlando Pirates.
 
Back
Top Bottom