Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Kwa timu iliyowafunga Yanga 2 sifuri.
Kama Yanga ni sawa na Wydad peleka kichwa chako! ulitoka kumfunga Horoya 7 nini kilifata ulipo enda kwa Raja,? tena hakua na pressure ya matokeo tuachieni kujitumainisha uongo hapo ndio mwisho wa Simba
 
Mwambie hivi yeye sie MUNGU,
Hata DAUD alimuua GOLIATH....

Hata yehu mkimbiza farasi aliambiwa na watu "WAMEONA MAJITU" yehu hakuogopa...
Hofu ni ugonjwa mbaya sanaa..
Dakika 90 Zita amua nani ana qualify....

SIMBA GUVU MOYA [emoji881][emoji881]
Hausajili wachezaji WA maana arafu unategemea mifano ya daud na Goliath[emoji38]
 
Namuunga mkono Eddo, huu ni ukweli mchungu kama mlimshindwa Raja basi Wydad hamtomuweza
 
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika mechi ya marudiano.

Una maoni gani? Comments ziwe fupifupi
Kwani huyo Eddo ni nani katika Dunia hii?anagawa hewa tunayovuta?aache ramli zilizomshinda kuipigia timu anayoipenda Arsenal kuwa watakuwa mabingwa wa kuongoza ligi....awaulize wenzake waliosema Simba underdog
 
Back
Top Bottom