Edo Kumwembe: Hata Simba akishinda 3-0 kwa Mkapa, nina uhakika atatolewa na Wydad

Ana uhakika amekuwa Mungu. Simba ikikupiga tatu unatoka. Simba imekuwa inatolewa kwenye robo fainali kutokana na kufunga magoli machache nyumbani, kuanzia Kaizer chiefs na Orlando Pirates.
Kaizer chiefs si mlimfunga goli tatu? kwani goli tatu sio nyingi?
 
Tatizo hamtaki kusikia uhalisi ila mnataka mnachopenda ndo kusikia.. hakuna timu pale.. kama mmemshindwa raja huyo kulwa wake mtatoka kapa tena

Ikitokea akasonga mbele utawasikia tena, mpira unamatokea katili, sijui bahati na utopolo mwingine.
 
KUNA MAPOVU HUMU...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mungu fanya kweli tupate hizo 3 afu tuone kama tutatolewa....
 
Amebadilisha fani, na kuwa Mganga kienyeji au Aliachiwa mikoba na shehe Yahaya(RIP). Vinginevyo ni mropokaji tu
 
Kuna mechi ya Simba Vs FCP ya Zimbabwe...
Simba ilitoa mtu 4 kwa sufuri Kwa lupaso
Chama alionyesha ufundi mule wa kufa mtu
Tunasubiria na Jmosi kwa nkapa hatoki
mtu
Ilikua ligi ya mabingwa hiyo 2020/2021
 
Daaaa tusubiri povu kuuubwaaaass
 
Kuna mechi ya Simba Vs FCP ya Zimbabwe...
Simba ilitoa mtu 4 kwa sufuri Kwa lupaso
Chama alionyesha ufundi mule wa kufa mtu
Tunasubiria na Jmosi kwa nkapa hatoki
mtu
Ilikua ligi ya mabingwa hiyo 2020/2021
Una masihara, yaani timu ya Zimbabwe uifananishe na Wydad?
 
Tushamzoea zamani toka enzi zile anatumiwaga.
 
Chanzo cha hiyo penati kilukuwa ni nini?
 
Chanzo cha hiyo penati kilukuwa ni nini?

Kipa wa Rivers utd aliambiwa amempiga kipepsi mchezaji wa wydad. Ndipo akapewa red card na wydad wakapewa penalty.

Sababu kipa alipewa kadi nyekundu ikawalazimu rivers utd wafanye sub ya kumtoa mchezaji wa ndani na kumuingiza goal keeper mpya..

Baada ya kubaki pungufu uwanjani ndipo wydad akaanza kuwatawala na kuwafunga
 
Na huko kote walikopita mpaka wakaongoza kundi walikuwa wanabebwa?
 
Mwambie hivi yeye sie MUNGU,
Hata DAUD alimuua GOLIATH....

Hata yehu mkimbiza farasi aliambiwa na watu "WAMEONA MAJITU" yehu hakuogopa...
Hofu ni ugonjwa mbaya sanaa..
Dakika 90 Zita amua nani ana qualify....

SIMBA GUVU MOYA [emoji881][emoji881]
Siyo dakika 90 mkuu ni dakika 180 Simba atakuwa ametupwa nje ya mashindano hayo ya wakubwa na kumaliza tambo zenu .
 
Hivi unamsikiliza kumwembe? Ni lini ulimwona kumwembe anaujua mpira kwa maana kuucheza kwa kiwango cha juu hapa Tanzania? Haujui mpira zaidi ya kuucheza mdomoni!! Wachambuzi wenye heshima na wanaoujua mpira kama kina Ally Mayai huwezi kuwasikia wakisema maneno kama hayo ya kumwembe!! Kumwembe anaongea ili kitu chochote kiende kinywani kwa kuwafurahisha watu fulani anaowajua yeye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…