Edo Kumwembe, hivi unaijua FIFA Solidarity Rule kweli?

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Solidarity Rule ni sheria ya Fifa inayosema kwamba kama mchezaji atauzwa kwenda klabu ya ligi kubwa duniani basi asilimia 5 ya mauzo ya mchezaji huyo itagawanyishwa kwa timu zote alizochezea akiwa na miaka 12 hadi 23.

Hata klabu ya Simba itanufaika na sheria hiyo ambapo African Lyon, TP Mazembe na Simba zitahesabika kama klabu alizochezea Samatta akiwa na miaka 23 kushuka chini; kunifaika kwa Simba na African Lyon hakutokani na umakini wa viongozi wao bali sheria hii inalazimisha timu hizo kulipwa asilimia tano hizo.

Katika makala ya Jicho la Mwewe ya mwanaspoti 27/01/2020 mwandishi huyu alidai kuwa iwapo Msuva angeuzwa kwenda Benfica basi Yanga isingepata hata senti tano huku akijaribu kuutupia lawama uongozi wa Yanga hata hivyo anachokisema siyo kweli Iwapo msuva atauzwa kwenda benfica basi Yanga itanufaika na Fifa solidarity rule.

kuna vitu viwili mwandishi anavichanganya kwanza kuna hiyo 5% ambayo ni kama fidia ya kumlea mchezaji katika umri mdogo lakini pili kuna mkataba ambao klabu inaweka kwamba mchezaji huyu tunakuuzia na ukimuuza tutahitaji asilimia 20 ya mauzo, huu ndiyo mkataba waliouweka simba na mazembe na mkataba huu uliishia pale Mazembe tu
kutoka Genk kwenda Aston Villa ni Solidarity rule tu ndiyo inawabeba Simba kama itakavyo wabeba Yanga iwapo Msuva ataenda Benfica.

Waandishi wetu wajaribu kuwa makini

solida.jpg
solid2.jpg

Alisema pia klabu zina lazimisha zilipwe pesa yote bila kujali kuweka kipengele cha asilima atakapo kuja kuuzwa baadaye.

Mfano, Msuva angeuzwa kwenda benifica basi kwasheria zako hapo juu yanga watapata 5%. Pia wangeweka kipengele cha 50% akiuzwa wapewe yanga ina maana jumla wangekuwa na 55%

Kwa tamaa za viongozi wetu hivi vitu hawavitaki kusikia.

Simba waliweka vipengele hivyo ukijumlisha na hizo 5% unazo zisema INA maana bado wana endelea kuneemeka na ukomavu wa akili za viongozi walio pita kwa kujiongeza zaidi kuliko kutegemea sheria za FIFA.
 
Edo Kumwembe ni Mchambuzi mwongo mwongo,mwenye Kiherehere kingi, mpenda Sifa sana na Mtu anayejifanya anajuana na Wachezaji wote wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Anajitahidi mno Kujificha asijulikane kuwa Yeye ni Mshabiki wa Yanga ila ukiwa unamfuatilia vizuri katika Maongezi yake utamjua Kiurahisi sana tu. Ni Mnafiki hakuna mfano!
 
unapoongeza hiyo 50% kwa wachezaji wetu ambao ni very average unawapunguzia soko
 
Afu mtu wa chang'aa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapoongeza hiyo 50% kwa wachezaji wetu ambao ni very average unawapunguzia soko
Nani emekwambia hawa uziki?

Vilabu vinakuja na hizo offer una sema hawauziki? Tenerife walichuaje wachezaji? Wewe kumbe ni mmoja wao ktk mada ya Edo...
 
Alisema pia klabu zina lazimisha zilipwe pesa yote bila kujali kuweka kipengele cha asilima atakapo kuja kuuzwa baadaye.

Mfano, Msuva angeuzwa kwenda benifica basi kwasheria zako hapo juu yanga watapata 5%. Pia wangeweka kipengele cha 50% akiuzwa wapewe yanga ina maana jumla wangekuwa na 55%

Kwa tamaa za viongozi wetu hivi vitu hawavitaki kusikia.

Simba waliweka vipengele hivyo ukijumlisha na hizo 5% unazo zisema INA maana bado wana endelea kuneemeka na ukomavu wa akili za viongozi walio pita kwa kujiongeza zaidi kuliko kutegemea sheria za FIFA.
Mleta uzi huu, na wachangiaji wengine, wanaonekana wanachuki binafsi na Eddo.
Alichoandika ni sahihi. Hiyo 5% ipo tu. Alichoongelea, ni kile cha ziada, ambacho mnakubaliana wakati wa kumuuza, ambacho Simba walikiweka wakati wanamuuza Samatta huko Mazembe. Je, Yanga walikiweka wakati wanamuuza Msuva?
Alichokiandika Eddo,,ni kuzikumbusha timu zetu kuwa makini zinapofanya biashara ya namna hiyo.
MCHAWI MCHUKIE, LAKINI SIFA ZAKE MPE!

Chuki binafsi? personally simjui Edo zaidi ya kwenye media, alichosema YANGA HAIPATI HATA SENTI TANO MSUVA AKIUZWA BENFICA and thats a lie, ni chuki zake dhidi ya Yanga
 
Safi! 👍
 
Edo Kumwembe ni Mchambuzi mwongo mwongo,mwenye Kiherehere kingi, mpenda Sifa sana na Mtu anayejifanya anajuana na Wachezaji wote wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Anajitahidi mno Kujificha asijulikane kuwa Yeye ni Mshabiki wa Yanga ila ukiwa unamfuatilia vizuri katika Maongezi yake utamjua Kiurahisi sana tu. Ni Mnafiki hakuna mfano!
Anapenda sifa yule. Kila mchezaji,kocha,kiongozi ni rafiki yake. Mara nilikwenda Milan,mara Barcelone. Yaani hivi yule alisoma fani ipi ?
 
Chuki binafsi? personally simjui Edo zaidi ya kwenye media, alichosema YANGA HAIPATI HATA SENTI TANO MSUVA AKIUZWA BENFICA and thats a lie, ni chuki zake dhidi ya Yanga
Yule ni Simba wazi wazi.
 
Mbona senzo Wa simba alisema kuwa simba haina chao kwenye biashara ya Genk Vs Aston villa?Au nae senzo hajui hilo?.
JE,Zlatan kwenda Milan nae timu zote zitapata hiyo 5%kwa timu zote alizopita ikiwepo Barca na Man U?
Hapa naona kama hii sheria hatujaielewa vizuri.Si vizuri kukopi kipande cha sheria moja na kuja kuhitimisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom