Edo Kumwembe umechemka.

Hata kwa mwandishi wa habari, lazima kuwe na tofauti baina ya kutoa mawazo na 'kutoa povu'.
 
Nashukuru mkuu nilisikia ni mzanzibar
 
Kumwembe yupo sahihi sana....
Namuunga mkono.
 
Sio lazima asifiwe na kila mtu coz atabweteka akijua kuna watu wanamkatisha tamaa atapambana kuwaprove wrong hivyo ndivyo maisha yalivyo. Usiforce watu wafanane mawazo Wangapi wamesifiwa na bado wamezingua
 
Mkuu nimependa sana uchambuzi wako ila naomba kama uko instagram umuandikie hii na umtag kabisa aisome ..
 
Leakey ni mpiga soga tu na mtu mwenye exposure.
Mwalimu kashasha yule ndio definition ya mchambuzi.
Sasa mbona hata wewe unaonekana kanjanja ndomana unaandika ki swanglish yani hueleweki ulitaka kumaanisha nini mara "Soga","exposure","definition" jikite kwenye lugha moja tukuelewe unatetea nini
 
Sasa mbona hata wewe unaonekana kanjanja ndomana unaandika ki swanglish yani hueleweki ulitaka kumaanisha nini mara "Soga","exposure","definition" jikite kwenye lugha moja tukuelewe unatetea nini
Nilikua na mpango wa kukujibu shit, lakini nikagundua mimi ndie nilieanza kuku-quote.
 
ngoja ni copy nikapaste wa page yake...ha ha
 
Edo ni mzee wa historia yuko poor sana katika analysis.
Nauliza hivi Radhi Jaid yule Mtunisia alienda kucheza premier league akiwa na umri gani?!
Mpira ni historia. Mpira ni sayansi mpira ni arts (sanaa).
Mpira ni process. Garry Neville alikuwa mchambuzi mzuri sana lakini ni kocha mbovu (Valencia alifukuzwa).
Football is a discipline game.
 
Leakey ni mpiga soga tu na mtu mwenye exposure.
Mwalimu kashasha yule ndio definition ya mchambuzi.
Kashasha ni Mwl kwa kufundisha darasani na ni mwl Wa michezo. Aliwahi kuwa kocha miaka ya 1990.
Ni mwl Wa Paul Rwechungula,Dhikiri mchumila, akiwa Musoma. Nakumbuka taifa cup Moja tulikutana Shinyanga.
 
Na ndio maana akichambua mpira haleti stori,Kashasha hujikita katika kuelezea technical na tactical side ya mchezo.Hawa wengine ni historia tu na blah blah blah kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…