Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
NAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?
1. UCLKwani Mendy ana makombe mangapi mpaka sasa mkuu
Inawezekana akawa ndio mchezaji aliyefanikiwa zaidi kutoka EgyptMapharaoh wameamua kulinda Legacy ya Salah.
=======================
Mo Salah’s football career will be taught in schools across Egypt...
Reason??M. Salah
Kudos za kutosha kwako chief Nimeshawishika kuona kwamba Salah magoli pekee hayawezi kua sababu ya kushinda tuzo bila makombeNazani Eduardo Mendy atakuwa mchezaji Bora wa Mwaka kwasababu mbili kuu individual performance na trophies winner.Individual performance Mendy kacheza mechi 9 za epl kapata cleansheet 6 katika hayo magoal aliyoruhusu hakuna goal la mbali, kichwa wala set pieces au corner...
Premier LeagueReason??
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2021-22 | 10 | 10 | 6 | 1 | 0 |
| 2020-21 | 37 | 22 | 5 | 0 | 0 |
| 2019-20 | 34 | 19 | 10 | 1 | 0 |
| 2018-19 | 38 | 22 | 8 | 1 | 0 |
| 2017-18 | 36 | 32 | 10 | 1 | 0 |
| Year | Matches | Goals | ||
|---|---|---|---|---|
| 2021-22 | 3 | 5 | 0 | 0 |
| 2020-21 | 10 | 6 | 0 | 0 |
| 2019-20 | 8 | 4 | 0 | 0 |
| 2018-19 | 12 | 5 | 1 | 0 |
| 2017-18 | 15 | 11 | 0 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2020-21 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 2018-19 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2020 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 2019 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2019 | 2 | 0 | 1 | 1 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2019 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2018 | 2 | 1 | 0 | 0 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2017 | 1 | 1 | 0 | 0 | 0 |
| Year | Matches | Goals | Assists | ||
|---|---|---|---|---|---|
| 2017 | 2 | 1 | 0 | 0 | 0 |
Numbers don't liePremier League
UEFA Champions League
Year Matches Goals Assists 2021-22 10 10 6 1 0 2020-21 37 22 5 0 0 2019-20 34 19 10 1 0 2018-19 38 22 8 1 0 2017-18 36 32 10 1 0
EFL Cup
Year Matches Goals 2021-22 3 5 0 0 2020-21 10 6 0 0 2019-20 8 4 0 0 2018-19 12 5 1 0 2017-18 15 11 0 0
FA Community Shield
Year Matches Goals Assists 2020-21 1 0 0 0 0 2018-19 1 0 0 0 0
Club World Cup
Year Matches Goals Assists 2020 1 0 0 0 0 2019 1 0 0 0 0
UEFA Super Cup
Year Matches Goals Assists 2019 2 0 1 1 0
International Champions Cup
Year Matches Goals Assists 2019 1 0 0 0 0
Audi Cup
Year Matches Goals Assists 2018 2 1 0 0 0
Premier League Asia Trophy
Year Matches Goals Assists 2017 1 1 0 0 0
Year Matches Goals Assists 2017 2 1 0 0 0
Ana namba kubwa kwelikweli 2021 had sasa ana magoli mengi the same kwa Mendy ana saves na cleansheets nyingi kuliko mchezaji yoyote pale premier what about trophy haiwez kua sababu ya mwisho ya kuamua maana wote wamekuwa na viwango bora hadi sasaNumbers don't lie
Hili nalo linawezekana kumbe? Na je lilishawahi kutokea kabla?Hata wote wawili wakipewa kwa pamoja hakuna shida
Dunia ya soka yote inamzungumza salah, mendy anazungumzwa chelsea tu, hata muanzisha uzi ni chelseaAna namba kubwa kwelikweli 2021 had sasa ana magoli mengi the same kwa Mendy ana saves na cleansheets nyingi kuliko mchezaji yoyote pale premier what about trophy haiwez kua sababu ya mwisho ya kuamua maana wote wamekuwa na viwango bora hadi sasa
Yeah muanzisha uzi ni Chelsea lakin ni mpenda soka haswa naangalia mechi nyingi za team tofauti na ligi tofauti kila nikipata nafasiDunia ya soka yote inamzungumza salah, mendy anazungumzwa chelsea tu, hata muanzisha uzi ni chelsea
Eduardo MendyNAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika bara la Afrika 2021?