Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
MO Aboutreka angechezea Ulaya angejulikana sana. Alikuwa mzuri ila aliishia Al Ahly tuInawezekana akawa ndio mchezaji aliyefanikiwa zaidi kutoka Egypt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MO Aboutreka angechezea Ulaya angejulikana sana. Alikuwa mzuri ila aliishia Al Ahly tuInawezekana akawa ndio mchezaji aliyefanikiwa zaidi kutoka Egypt
Nadai Reason chief kwa nn Mendy na Sio SalahEduardo Mendy
Nafikiri hivyo pia ila kwa waliowahi kwenda Ulaya yeye ndio bora zaidi ya wote bila ya shakaMO Aboutreka angechezea Ulaya angejulikana sana. Alikuwa mzuri ila aliishia Al Ahly tu
Eduardo Mendy msimu uliopita kabeba UCL na Super cup.Nadai Reason chief kwa nn Mendy na Sio Salah
Nahisi hakuna nyingine zaidi ya hizo ila kama zipo nazihitaji niFahamu chiefEduardo Mendy msimu uliopita kabeba UCL na Super cup.
Wakati huo Salah alikuwa anapigania kufika top four.
Msimu huu Mendy ndiyo golikipa mwenye saves nyingi zaidi probably na cleansheet pale EPL.
Bado unahitaji sababu gani zingine zaidi ya hizo ?
Twende kazi mkuu. Tetea jibuSalah
Salah kashafanya mengi mkuu najua unajua, Mendy pua ni mzuri kwenye eneo lake ila linapokuja suala la kulinganisha golikipa na mshambuliaji siku zote mzani utaegemea upande mmoja.Twende kazi mkuu. Tetea jibu
Sasa Mkuu unadhani watu wote Duniani manguli na manguli toka miaka na miaka unataka kusema hawaoni umuhimu wa Makipa,mabeki na viongo hadi karne na karne wawe wanaangalia maforward tu??Yeah muanzisha uzi ni Chelsea lakin ni mpenda soka haswa naangalia mechi nyingi za team tofauti na ligi tofauti kila nikipata nafasi
ila dunia kumzungumzia Salah ni kawaida kwa dunia kuwazungumzia washambuliaji na kuwasahau wachezaji wa maeneo mengine Mabeki, Viungo, Magolikipa ilhali wao pia wanamchango mkubwa katika ushindi wa timu Salah angekua anafunga lakini Liverpool hawashindi mechi Nan angemzungumzia? Bila Van Dijk, Alison na viungo kutengeneza nafas Salah angekua Nan?
Mwaka huu 2021 Mendy anayo mengi kuliko salah [emoji124][emoji124]Kwani Mendy ana makombe mangapi mpaka sasa mkuu
Wakati salah anaitafuta top four mendy alikuwa kashaipata tayari? Messi alichukua ballon d' or bila kuwa na hayo makombeEduardo Mendy msimu uliopita kabeba UCL na Super cup.
Wakati huo Salah alikuwa anapigania kufika top four.
Msimu huu Mendy ndiyo golikipa mwenye saves nyingi zaidi probably na cleansheet pale EPL.
Bado unahitaji sababu gani zingine zaidi ya hizo ?
Basi pawepo na tuzo kwa kila eneo, sio hii ya kufavour washambuliaji tu.Salah kashafanya mengi mkuu najua unajua, Mendy pua ni mzuri kwenye eneo lake ila linapokuja suala la kulinganisha golikipa na mshambuliaji siku zote mzani utaegemea upande mmoja.
Wote ni mashahidi, kuna nyakati Manuel Neuer alikuwa bora sana duniani ila ilipokuja ballon d'or mbele ya Messi hakuamini macho yake, tuzo ilienda kwa Messi kirahisi mno!!
Ndio maana kuna watetezi wamekuja na hoja, magolikipa washindanishwe kivyao sio na wachezaji wa ndani!!
Nafikiri umenisoma mkuu
Kipa kama ana performance nzuri hastahili kuwepo kwenye kinyang'anyiro mkuu?Africa ss naona tuna upungufu wa wachezaji wa ndan na huko duniani
Kuna kipindi hii tuzo unakuta majina ni etoo drogba aboutrika etc
Ss hv tuna kipa na mshambuliaji dooh