Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

Malalamiko mengine tuwaachie wanawake(madem) tu mkuu !

Sasa we una mwonekano wa kistaa kwani !
Labda tuanzie hapo !

Ww nae kma mungu hakukupa sura nzuri tulia kwenye kuuza mkaa au kukodisha CD sio kuwa Video Presenter mkuuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Malalamiko mengine tuwaachie wanawake(madem) tu mkuu !

Sasa we una mwonekano wa kistaa kwani !
Labda tuanzie hapo !

ndio maana wabongo tunaharibu mambo mengi coz hatujielewi tunafanya vitu kama fashion tuu....nna wasi wasi hata na wewe waonekana mchimba chumvi tuu na utakua unafanya kitu usichoendana nacho!
 
ndio maana wabongo tunaharibu mambo mengi coz hatujielewi tunafanya vitu kama fashion tuu....nna wasi wasi hata na wewe waonekana mchimba chumvi tuu na utakua unafanya kitu usichoendana nacho!


You've no any Idea concerning me man !
Go to sleep n have a nice day !
 
jamaa sidhani kama yuko sawa upstairs
 
Huyu mtuu hafai kwenye tv kiukweli.kwa sisi wenye cv za media huyu hatoshi my be awe producer and sio presenter wa kipindi maana sifa za kila kipindi kuna hitaji nature ya watu flani.mfano umchukue bidazani atangaze michezo so my be huyu jamaa achagua kitu kisicho switch na attitude yake.
But media tanzania inachalange kubwa kwenye.tv
 
sijabahatika kumuona aisee, anaonekana mida gani?
 

Una Cv gani kidampa wewe unaandika ushuzi..tasnia ya habari na mawasiliano ni adhim, kwasasa Azam Tv haina mpinzani, hizo takataka zenu bakini nazo, umejiita una Cv ya media, kwanini Channel Ten haikui miaka yote wakati Azam ina mwaka tu na tuzo lukuki? Ukijibu hili nakutumia tgo pesa!
 

swali zuri hilo kula LIKE!
 

Weka picha.
 

Lkn hata sauda alivyoanza so mnakumbuka?
Alikuwa bonge la mshamba
 
Last edited by a moderator:

Sshivi salim kikeke,BBC Swahili ndo inayowaweka mjini!!!
 


Channel Ten ni "Pandora box" mkuu!! Ni hatari tupu, in short ni majanga basi tu tumshukuru Mungu watu wanagawana umaskini na wameridhika, otherwise...!!!
 
acha wivu wa kisenge ww wakikupa utaweza watazamaji wanafwata ubora wa kipindi co swaga kwanz kipnd kina hit ile mbaya mpaka nimekikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…